Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajui kuwa no ni wakati wa PIRA PESAIla simba bhana! Yaani mpaka muda huu eti bado wanaamini wana kikosi kipana, na kitaendeleza wimbi lao la kuchukua ubingwa wa ligi kuu kila msimu!
Wamesahau timu nyingine nazo zimejipanga kwa malengo hayo hayo! Ushindani umeongezeka kwenye ligi! Lakini pia wamesahau wachezaji wao wana fatique baada ya mafanikio ya miaka 4 mfululizo!
InaweZa ongezeka ukubwa lakini,ubora ukapunguaHapana mkuu..,. Mwili unavyoongezeka pia organ za mwili huongezeka ......the same to ubongo
Uzito unamfanya atoe kauli za hovyoUzito una relate vp na kauli aliyoitoa?
namini kwenye ile list ya msukule watu wenye akili utopoloni na wewe uongezwe kutoka mzee kikwete na mzee manara pia uafuatie na wewe waliobaki wote na mleta mada hawana akiliIla kiongozi kuongea maneno kama hayo ni kukosa weledi. Ni kama vile kupanga matokeo. Hilo ni kosa kubwa sana kwenye mchezo wa mpira wa miguu, viongozi wajitambue kuna maneno ya kuongea mashabiki na kuna maneno ya kuongea kiongozi
Ni kweli ila makamo mwenyekiti ukizungukwa na wenye pesa unaweza usijue hata mipango ya ndani ukabaki kuagizwa maji na sigara tu.Hapana mkuu.....kuwa makamu mwenyekiti sio kitoto