Mwakalebela: Simba inafunga magoli ya offside

Ni maoni yake ana haki kuyatoa lakini hayaakisi uhalisia
 
Tatizo mmeshaanza kupoteana.
Points 8 ni ndogo Sana.
jumapili mkidroo zitabaki points 9.
Simba ikishinda zitabaki points 6.
Ambazo ni ushindi wa mechi 2 tu tunawakuta.
Tunajua PUMZI IMEKATA.
hii yanga ya droo droo ndo yenyewe.
Yanga kadroo nne,Simba kadroo tatu,shida nini!?
 
Tatizo mmeshaanza kupoteana.
Points 8 ni ndogo Sana.
jumapili mkidroo zitabaki points 9.
Simba ikishinda zitabaki points 6.
Ambazo ni ushindi wa mechi 2 tu tunawakuta.
Tunajua PUMZI IMEKATA.
hii yanga ya droo droo ndo yenyewe.
Wacha,yanga anadroo Simba anashinda tu
 
Ktk post yangu jana ya mbinu chafu za simba nililisema hili goli..tatizo wa tz wengi nyerere alitutoa nyongo...ni watu wa hewala hewala ...hata kufikiri kdg hakuna!
 
Utopolo bhana,wakiona mchezaji amekuwa na kasi mbele ya mpinzani kwao ni offside.Na waliofungwa wala hawalalamiki maana wanajua ukweli.

Nawakumbusha tu kuwa, sasa hivi timu zinapambania kubaki premier kwa hiyo hazichukui bahasha.Chezeni kwa uwezo wenu tu,siyo kijidanganya mayele mayele
 
Hahaha wamepagawaaa
 
Magoli ya mchongo haya hapa
La ķwanza clear offside.
La pili kipa hataki kuokota mpira jirani yake anaachia wafungwe!!
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…