Mwakalebela: TFF haitutendei haki

Mwakalebela: TFF haitutendei haki

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Joined
Sep 11, 2020
Posts
69
Reaction score
105
20210219_141236.jpg

Klabu ya Yanga imesema kuwa haitendewi haki na vyombo vinavyosimamia mpira wa miguu kwa maana ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF),Bodi ya ligi, kamati ya ya masaa 72 na kamati ya waamuzi.

Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hii leo.

Katika mazungumzo yake Mwakalebela, ametaja mechi yao dhidi ya Mbeya City jinsi ambavyo waamuzi walikuwa wakikinzana katika kufanya maamuzi huku akiataja penati ambayo ilikataliwa na mwamuzi .

Pia akaongeza katika mchezo wao dhidi ya Kagera sugar penati nyingine ilikataliwa baada ya mchezaji wao kuangushwa ndani ya box huku mchezaji wa Kagera sugar akiokoa kwa mkono.

Aidha wamehoji kuwa je waendelee kuwepo kuwepo kwenye ligi au wajitotoe na kama kuna bingwa tayari ameandaliwa basi apewe ubingwa huo.

Vilevile ameviomba vyombo vinavyohusika kuingilia kati swala hilo.
 
View attachment 1706249

Wamepoteza focus kbs

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Na hii ndio shida ya kuwapa wanasiasa kuongoza soka
 
Mbona Yanga tumeanza kupoteana mapema hivyo? tatizo tunataka kujenga timu ya kisasa afu tunawapa nafasi watu kama Mwakalebela.
 
Back
Top Bottom