Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Kenya sio Malawi mzee.Sio rahisi hivyo
Ruto atashinda kwa kura nyingi sana kuliko hata 2022.Kwa hiyo kolabo ya wanasiasa wa upinzani naona Kasongo na Soprono watapelekwa nyumbani asubui mapema.
Labda washindwe kuwa na umoja mpaka mwisho ila kwa Wakenya na imani nao kidogo fofauti na wanasiasa wa upinzani hapa kwetu.
View attachment 3650823
Kenya sio Malawi mzee..Sio rahisi hivyo
Kwa kigezo kipi mzee. Hayupo na Kina Edwin Sifuna na Babu Owino bado watu wa Mlima hawapo pamoja nae atapitia wapi?Ruto atashinda kwa kura nyingi sana kuliko hata 2022.
Huoni yanayo endelea Zambia. Si kwa sababu ni bora wauwe watu ili wao wabaki madarakani.Hakuna uchaguzi mgumu Afrika kama wa kumtoa rais aliyepo madarakani.
Hakuna mwanasiasa wa kumnyima kura Ruto kwa sasa hayupo.Kenya sio Malawi mzee..
Kwa kigezo kipi mzee. Hayupo na Kina Edwin Sifuna na Babu Owino bado watu wa Mlima hawapo pamoja nae atapitia wapi?
Atakachofanya ni kuwanunua baadhi kama alivyo wanunua baadhi ya wabunge wa Azimio kipindi kile na UDA ikawa na majority.Hakuna mwanasiasa wa kumnyima kura Ruto kwa sasa hayupo.
Ana ukomavu mkubwa wa mapambano kuliko hao wengine atacheza karata zake vizuri mwakani wengi hao watakimbiana tu.
Hao wengine hata mgombea wa urais hawana.Atakachofanya ni kuwanunua baadhi kama alivyo wanunua baadhi ya wabunge wa Azimio kipindi kile na UDA ikawa na majority.
Nakubaliana na wewe Ruto ni mjanja mjanja na aggressive sana ila Gachagua nae sio wa kupuuza ana wafuasi huko mlimani.
Watamchagua atakayepeperusha bendera ya umoja wao. Jitahidi ujifunze siasa za Kenya usiongelee general view ya unavyoona wewe.Hao wengine hata mgombea wa urais hawana.
wengi wanaushawishi vijiji wanavyotoka tu.
Uchaguzi huu Ruto atashinda kwa first gear tu
Ndio nilichomwambia kwa kura za kawaida Ruto hawezi kupita strong hold zote hayupo na wanasiasa wanaokubalika kwenye hizo ngome. Kwa hiyo ana upinzani mkalia sana. Tusibie tuone ya Zambia yataendeleaje..?Akiwa na akili avuke border chap akajifunze kwa waliomtangulia haoni mwenzake huko Hichielema maji ya shingo but ana-force kuvuka in Tanzania style?
Umemjibu vyema.. ajifunze tu siasa za Kenya ataelewa mengi sana. Nipo huku upande wa Kenya .. niseme tu kama Ruto akipenya second term basi akatoe sadka ya kuchinja kwa wazee wake kijijini kwake sugoi.... Tuombe tu uzima tushuhudie hiyo ligi .. it's going to be a bumpy ride for himWatamchagua atakayepeperusha bendera ya umoja wao. Jitahidi ujifunze siasa za Kenya usiongelee general view ya unavyoona wewe.
Nimefuatilia siasa za ukanda wa maziwa makuu kwa miaka 25 sasa.Watamchagua atakayepeperusha bendera ya umoja wao. Jitahidi ujifunze siasa za Kenya usiongelee general view ya unavyoona wewe.
Ruto aliweza kupenya dhidi ya Muungano wa Uhuru Kinyata na Raila Odinga atashindwa kupenya mbele ya watu ambao hata mgombea Urais mwenye ushawishi wa robo ya nchi hawana ?Umemjibu vyema.. ajifunze tu siasa za Kenya ataelewa mengi sana. Nipo huku upande wa Kenya .. niseme tu kama Ruto akipenya second term basi akatoe sadka ya kuchinja kwa wazee wake kijijini kwake sugoi.... Tuombe tu uzima tushuhudie hiyo ligi .. it's going to be a bumpy ride for him
Uhuru Kenyatta alikua mnafiki, publicly alikua anamuunga mkono Odinga but behind alimuunga mkono Ruto.Ruto aliweza kupenya dhidi ya Muungano wa Uhuru Kinyata na Raila Odinga atashindwa kupenya mbele ya watu ambao hata mgombea Urais mwenye ushawishi wa robo ya nchi hawana ?
Sawa mkuu uwe unatupa updates hapa mpaka hiyo August 2027 wakati wa uchaguzi uchaguzi. Siasa za Kenya ni tofauti na zetu.Umemjibu vyema.. ajifunze tu siasa za Kenya ataelewa mengi sana. Nipo huku upande wa Kenya .. niseme tu kama Ruto akipenya second term basi akatoe sadka ya kuchinja kwa wazee wake kijijini kwake sugoi.... Tuombe tu uzima tushuhudie hiyo ligi .. it's going to be a bumpy ride for him
Uhuru hakuwa real, alikuwa hamsapoti baba ki kweli kweli.Ruto aliweza kupenya dhidi ya Muungano wa Uhuru Kinyata na Raila Odinga atashindwa kupenya mbele ya watu ambao hata mgombea Urais mwenye ushawishi wa robo ya nchi hawana ?