Kwani sasa hivi akimuunga mkono Ruto kwa njia ile ile hao wanasiasa wachanga watamfanya nini Ruto ?Uhuru Kenyatta alikua mnafiki, publicly alikua anamuunga mkono Odinga but behind alimuunga mkono Ruto.
Mchuanao utakuwa mkali sana si unaona hata sasa wanashindwa siasa za Gachagua wanatengeneza vikundi vya wahuni kuvamia mikutanao na misafara yake mfano huko Nakuru leo kama sio jana.Uwezakano wa kupita ni 50/50 kama atapita atakutana na upinzani mkali.
Kifo cha Odinga ilikuwa relief kubwa sana kwa Ruto hao ODM wenyewe watagawanyika vipande vipande akiwemo Odinga ameshatangaza kumuunga mkono RutoUwezakano wa kupita ni 50/50 kama atapita atakutana na upinzani mkali.
Sure hakua na nia ya dhati kutaka Raila ashinde alikuwa ana wasiwasi asijekulipiza kisasi cha toka baba yake na Wajaluo kwa ujumla dhidi ya Wakikuyu.Uhuru Kenyatta alikua mnafiki, publicly alikua anamuunga mkono Odinga but behind alimuunga mkono Ruto.
Sasa hivi baba hayupo na Uhuru yupo hawa kina Gachagua hawawezi kumtikisa Ruto atawashinda kwa land Slide victoryUhuru hakuwa real, alikuwa hamsapoti baba ki kweli kweli.
Wameshamjua mbinu yao sasa hivi vijana wapo wengi na kule sio kama hapa Simba na Yanga muda wote kule Wasomi wengi na wazalendo kwa nchi yao lazima Ruto atakonda awe kama moja.Kwani sasa hivi akimuunga mkono Ruto kwa njia ile ile hao wanasiasa wachanga watamfanya nini Ruto ?
Sasa huyo Oburu hana influence yeyote kama Sifuna, Babu Owino na Orengo wameondoka hakuna ODM hapo.Kifo cha Odinga ilikuwa relief kubwa sana kwa Ruto hao ODM wenyewe watagawanyika vipande vipande akiwemo Odinga ameshatangaza kumuunga mkono Ruto
Hao wasomi hawakuwepo 2007, 2012, 2017, 2022.?Wameshamjua mbinu yao sasa hivi vijana wapo wengi na kule sio kama hapa Simba na Yanga muda wote kule Wasomi wengi na wazalendo kwa nchi yao lazima Ruto atakonda awe kama moja.
Kwani alikuwa ana gombea yeye, yeye ni 2022 ambayo ushindi wake una mauza uza nadhani ulisikia habari za Jose Camargo Mvenezuela. Ashukuru Mungu ni kipindi Raila nguvu zilikuwa zimemuishia hali isingekuwa poa.Hao wasomi hawakuwepo 2007, 2012, 2017, 2022.?
Katika miaka yote hiyo Ruto amekuwa kwenye upande ulioshinda uchaguzi ikiwemo 2008 iliyosababisha mauaji.
Chaguzi zote za kenya tangu 2007 Ruto amekuwa kambi iliyoshinda uchaguzi
Kuna ushindi wa mauza uza kuzidi wa 2007 uliosababisha mauaji ya wakenya na wa 2017 uliotenguliwa Mahakamani ?Kwani alikuwa ana gombea yeye, yeye ni 2022 ambayo ushindi wake una mauza uza nadhani ulisikia habari za Jose Camargo Mvenezuela. Ashukuru Mungu ni kipindi Raila nguvu zilikuwa zimemuishia hali isingekuwa poa.
Hakuwa anagombea yeye ila alikuwa kwenye kambi za washindi wa uraisKwani alikuwa ana gombea yeye, yeye ni 2022 ambayo ushindi wake una mauza uza nadhani ulisikia habari za Jose Camargo Mvenezuela. Ashukuru Mungu ni kipindi Raila nguvu zilikuwa zimemuishia hali isingekuwa poa.
Sasa sio ndio hiyo kupita kijanja janja kwa hiyo zama zinabadilika na maendeleo ya Technology pia huwezi fananisha 2007 ua 2017 na 2027.Kuna ushindi wa mauza uza kuzidi wa 2007 uliosababisha mauaji ya wakenya na wa 2017 uliotenguliwa Mahakamani ?
Yeye aliji attach na sehemu alizoana zina ushawishi wakushinda ila hiyo haimpi kigezo cha yeye kushinda 2027 wakati strong hold haziko nae.Hakuwa anagombea yeye ila alikuwa kwenye kambi za washindi wa urais
Uchaguzi wa 2022 haukuwa na mauzauza yoyote Ruto alishindwa fairly ila Odinga hakuwa mshindani anayekubali kushindwa.Sasa sio ndio hiyo kupita kijanja janja kwa hiyo zama zinabadilika na maendeleo ya Technology pia huwezi fananisha 2007 ua 2017 na 2027.
Hakuna chochote Ruto alisaidiwa na Uhuru kushinda uchaguzi. Raila alishinda na hata hivyo hakuwa tishio tena kwa sababu alishajiunga na Ruto na ni baada ya kuona nguvu zake zimeisha afya isingemruhusu kugombea tena 2027 hata kama angekuwa hai. Akaona bora aende Serikalini kama Maalim Seif kule ZanzibarUchaguzi wa 2022 haukuwa na mauzauza yoyote Ruto alishindwa fairly ila Odinga hakuwa mshindani anayekubali kushindwa.
Na sasa tishio kuu (Odinga ) halipo atashinda kirahisi tu
August 2027 siyo mbali sana tuombe uzimaHakuna chochote Ruto alisaidiwa na Uhuru kushinda uchaguzi. Raila alishinda na hata hivyo hakuwa tishio tena kwa sababu alishajiunga na Ruto na ni baada ya kuona nguvu zake zimeisha afya isingemruhusu kugombea tena 2027 hata kama angekuwa hai. Akaona bora aende Serikalini kama Maalim Seif kule Zanzibar
Sio mbali mkuu tusubirie tuone.M
August 2027 siyo mbali sana tuombe uzima