Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi.
Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho.
Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020.
Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa mjini.
Kama nitakua na bajeti tight nitapambana na umeme (EV) Nissan Leaf 2020. Range ya 250 km itanitosha.
Ikitokea michongo imekaa kabisa yaani nna pesa ya kutosha, naishi EV na Nissan Ariya.
Hii kubwa lao, hadi range ya 350 km road trip inatosha kabisa.
All in all, Nissan wamejipata na Mungu abariki husstle zetu 2025.