Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi.
Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho.
Kama nitabaki na ICE (magari ya mafuta) nitamfikiria Nissan Note 2020. View attachment 3181793
Engine ndogo 1.2L hybrid itafaa sana hapa mjini.
View attachment 3181794
Kama nitakua na bajeti tight nitapambana na umeme (EV) Nissan Leaf 2020. Range ya 250 km itanitosha.
View attachment 3181798
Ikitokea michongo imekaa kabisa yaani nna pesa ya kutosha, naishi EV na Nissan Ariya.
View attachment 3181800
Hii kubwa lao, hadi range ya 350 km road trip inatosha kabisa.
View attachment 3181801
All in all, Nissan wamejipata na Mungu abariki husstle zetu 2025.
Kutengeneza gari ya umeme ni changamoto kubwa zaidi ikilinganishwa na gari ya mafuta kwa sababu kadhaa:Fundi atatengeneza body tu, haina engine wala transmission.
Achana na ChatGPT Snipper. Chuma inakuja, fundi mwenyewe na mtatest drive muone.Kutengeneza gari ya umeme ni changamoto kubwa zaidi ikilinganishwa na gari ya mafuta kwa sababu kadhaa:
1. Teknolojia ya Umeme ni Ngumu Zaidi
Gari za umeme zinatumia betri za lithiamu-ion, mfumo wa kudhibiti umeme, na motor za umeme, ambazo zinahitaji utaalamu wa juu wa kielektroniki na programu.
Gari za mafuta zina mifumo ya mitambo rahisi kama injini ya mwako wa ndani, ambayo imekuwepo kwa muda mrefu na ni rahisi kwa mafundi wengi kuelewa.
2. Zana na Vifaa
Kutengeneza gari ya umeme kunahitaji vifaa maalum vya kushughulikia mifumo ya umeme yenye nguvu kubwa (high voltage).
Mafundi wengi tayari wana vifaa vya kutengeneza magari ya mafuta, ambayo ni ya kawaida zaidi.
3. Upatikanaji wa Vipuri
Vipuri vya magari ya mafuta ni vya kawaida na vinapatikana kwa urahisi.
Vipuri vya magari ya umeme bado ni ghali na vigumu kupatikana, hasa katika maeneo ambayo magari ya umeme hayajazagaa.
4. Maarifa na Uzoefu
Mafundi wengi wana uzoefu mkubwa na magari ya mafuta kutokana na umaarufu wake kwa miaka mingi.
Teknolojia ya magari ya umeme ni mpya, na mafundi wengi bado hawajapata mafunzo ya kutosha kuyashughulikia.
Kwa hivyo, ni rahisi zaidi kwa fundi wa kawaida kutengeneza gari ya mafuta kuliko gari ya umeme. Hata hivyo, kadri teknolojia ya umeme inavyozidi kushika kasi, hali hii inaweza kubadilika.
Kizaz cha ChatGpt 😎Achana na ChatGPT Snipper. Chuma inakuja, fundi mwenyewe na mtatest drive muone.
Boss niko huku ila bado natumia mjerumani na wese ila ya umeme sidhani kama nitanunuaAchana na ChatGPT Snipper. Chuma inakuja, fundi mwenyewe na mtatest drive muone.
Nissan gari zao nyingi ziko vizuriSiku zote Japan nawakubali sana Nissan. Mwaka 1995 nilikuwa na Nissan Safari AD brand new, sijawahi kujuta.
Jamaa wanajua sana
Kuna uongo na mengine ni kweli kwa hiyo unasoma unayoona yanakufaa na mengine unaachaKizaz cha ChatGpt 😎
Are you sure? Nunua 'almost new'Fundi atatengeneza body tu, haina engine wala transmission.
Kusema kweli kuna mahala wamekosea ndio maana sahivi wanapitia msoto.Nissan gari zao nyingi ziko vizuri
Nilijaaliwa kuwa na Nissan Skyline 2 kwa nyakati tofauti na Nissan Stanza na Patrol mpya
Nawakubali sana hawa jamaa
Hii ndio changamoto za hapoDuh unataka nife kwa CIF ya $30,000
Sasa mimi sauti ndio adui yangu namba moja. Napenda kitu silent aisee. Ndio maana navutiwa na EV.Boss niko huku ila bado natumia mjerumani na wese ila ya umeme sidhani kama nitanunua
Sauti muhimu kwangu 😄
Hebu imagine race without sound
Ipo moja ya mchina hapa naiona labda uiangalie na hiyo inaitwa BYD Atto 3 au Build Your Dream
Ina muonekano mzuri
Hiyo Note nilikuwa nayo wakati zinatoka tu nikataka Auto wakasema nisubiri miezi 2 ndio Nikaletewa ilikuwa gari nzuri sana kwa familia na space ndani olikuwa kubwa kwa familia
Ila kama utannunua ya umeme utaleta mrejesho hapa