Mwakani nahamia Nissan: Either Leaf, Note au Ariya!

Basi E itakufaa sana Kama ni hivyo
Kwa hapa ya bei ya chini kwa Leaf ni ya 2017 ambayo ni 6m kabla ya meli mpaka Dar
Kohoa mzee
 
Leaf 2nd gen inaweza chezea ngapi CIF kwa Dar port?
 
Siku zote Japan nawakubali sana Nissan. Mwaka 1995 nilikuwa na Nissan Safari AD brand new, sijawahi kujuta.

Jamaa wanajua sana
Nissan wanapitia tu kipindi cha mpito, especially ukichukulia ushindani wa EV kutoka China.

Nissan ndio alianza mass production ya EV worldwide na Leaf ila nashangaa akajaovertekiwa na Tesla kama amesimama.
 
Kwa hiyo ni mara 2 ya bei ya kununua
Kwa hiyo kwa kuinunua hapo Dar itakuwa kiasi gani aisee tuseme 28m ama?
Si haki bali ni wizi huu bro
Ndio nimekaa hapa nasubiria 2025 January kama watabadirisha kodi.

Bila 30 kasoro kidogo hupati Leaf.
 
Sahihi
Sasahihi kuna degree na masters nying za ChatGpt
Mbali na hili
Hivi kwanini google maneno ya kiswahili ni uongo mwingi?
Nani huwa anaadika ujinga huo?
Ukiuliza translate ya neno linatafsirika vibaya mno
Ila mambo ni mengi sana kwa sasa
Na technology inatufundisha mpaka ufundi na mtu unafanya DIY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…