Mwakarobo Junior kuzinduliwa rasmi April 5 huko Pretoria

Mwakarobo Junior kuzinduliwa rasmi April 5 huko Pretoria

Yanga kaingia final msimu uliopita
Msimu huu yuko robo huku akiwa hajafungwa
#msifosi tufanane#
Unaongelea fainali za walioshindwa bila shaka.

Ni kweli 🐸🐸walitinga fainali.

Ila kwa ligi ya mabingwa hapana hawajawahi kabisa, wametinga robo na April 5 watakuwa official Mwakarobo jr.
 
Egypt nikaangalie pyramid za farao? Sawa nipeleke tu
Sijasema ukaangalie pyramid za farao. Ni kuangalia mechi ya mabingwa.

Tiketi ipo Ila vigezo masharti ni vitazingatiwa.

Kama mpango wako sio kuvaa jezi ya mnyama kaa mbali na hii ofa kwa kujilipia mwenyewe nauli ya kwenda Pretoria ukashangilie uzinduzi wa Mwakarobo jr 😂
 
Back
Top Bottom