Mwakilishi kutoka Tanzania Big Brother Afrika (BBA) apigana ndani ya jumba!

mlambivu

Senior Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
149
Reaction score
42
Mwakilishi toka Tanzania kwenye shindano la big brother afrika,Nando jana usiku alikuwa kwenye ugomvi mkali na

mshiriki toka ghana elikem,niliukuta katikati sijajua chanzo lakini nimeyasikia matusi makali waliyotoleana na mpaka

nando akamrushia mkono elikem. nawasiwasi anaweza kurudishwa nyumbani leo(disqualified from the game)

wadau mnaongeleaje hii kitu,binafsi sikuana haja ya nando ku-act vile
 
mnavyopeleka wala madawa ya kulevya BBA mnategemea nini?hata kama elikeem alireact ni just for defence lakini alivumilia sana hadi yakamfika kooni. Mtumia unga ni mtumia unga tu. Sijui mliwaokota wapi.
 
kwa kweli wahusika wa multichoice wanaochagua washiriki inabidi waliangalie hilo,kuna watu wengi tu smart wangeweza kushiriki toka tz. na bila ya bimp na wenzie kumzuia nando, mambo yangekuwa mengine,dogo matata sana.
 
Badala ufanye kazi unafuatilia mambo yasiyo na mbele wa nyuma hiyo bba inakusaidia nini mnajaza server tu ya jf

bba ni kiburudisho kama viburudisho vingine,amini usiamini kuna mafunzo pia
 
Ujinga mtupu....huyo mhusika kwenda kuchukua kitoto kilichokwisha haribikia marekani eti kikawakilishe TZ......hakijui hata mkoa mmoja TZ kutwa nasikia chaongelea marekani wahusika mujifunze jamani mnatia aibu...
 
hata Nando kumbe sio jina lake halisi
 
yeah,jina lake halisi ni amir khan...babake na mhindi.nilimsikia akimwambia selly kuwa nando limetokana na jina fernando,alikuwa akiwadanganya mademu kuwa jina lake ni fernando....
 
watu gani smart watakaokubal camera ziwaonyeshe ata wakiwa bafuni wanaoga.

acha waende wehu .

ila hawa wawakilishi wetu naona wehu unazidi,walianza vizuri atleast, lkn kadri siku zinavyokwenda wehu unazidi...huyo dada yetu naye mda wote kupiga umbea yeye na bwanake,kutwa kuwaongelea wenzao vibaya
 
habari mtaa huu mie bado nauliza fine a.ss keshatoka au bado?
 
mnavyopeleka wala madawa ya kulevya BBA mnategemea nini?hata kama elikeem alireact ni just for defence lakini alivumilia sana hadi yakamfika kooni. Mtumia unga ni mtumia unga tu. Sijui mliwaokota wapi.

tungekupeleka wewe vp ulikuwa wapi?!!!!
 
kwa kweli wahusika wa multichoice wanaochagua washiriki inabidi waliangalie hilo,kuna watu wengi tu smart wangeweza kushiriki toka tz. na bila ya bimp na wenzie kumzuia nando, mambo yangekuwa mengine,dogo matata sana.

Kumbuka aliingia na kisu kwenye party kisa kumuwinda Sulu.......kweli mwaka huu sjui wamewatoa wapi
 
Kumbuka aliingia na kisu kwenye party kisa kumuwinda Sulu.......kweli mwaka huu sjui wamewatoa wapi

na akaficha kiwembe kwenye mto ili amchane eli, yaani anatishia kuua ktk macho ya waafrica, huyu dogo co, na watu wengi wanalalamika kwamba biggie anamchukulia poa ingawa anaviolence tele, alitakiwa awe disqualify maana ana stick moja, na hili zogo kwa rules za da chase tayari ni wa kutoka huyu
 
We better be fare to our souls.....Mwaka huu BBA mmebug meeeen......hata kama wamefika this far still ile ni adverse selection. Nilidhani nando ni mtu kumbe nae kiatu tu, mbona ana act sso confused?
 
habari mtaa huu mie bado nauliza fine a.ss keshatoka au bado?

fineass anasema anajua watu wamefurahi kwa masahibu yaliyompata,bila kukumbuka yanaweza mpata mtu yeyote. anapandishwa kizimban nxt week
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…