na akaficha kiwembe kwenye mto ili amchane eli, yaani anatishia kuua ktk macho ya waafrica, huyu dogo co, na watu wengi wanalalamika kwamba biggie anamchukulia poa ingawa anaviolence tele, alitakiwa awe disqualify maana ana stick moja, na hili zogo kwa rules za da chase tayari ni wa kutoka huyu
We better be fare to our souls.....Mwaka huu BBA mmebug meeeen......hata kama wamefika this far still ile ni adverse selection. Nilidhani nando ni mtu kumbe nae kiatu tu, mbona ana act sso confused?
Kumbuka aliingia na kisu kwenye party kisa kumuwinda Sulu.......kweli mwaka huu sjui wamewatoa wapi
ahsante jamani kwa updatesfineass anasema anajua watu wamefurahi kwa masahibu yaliyompata,bila kukumbuka yanaweza mpata mtu yeyote. anapandishwa kizimban nxt week
Haya sasa kiko wapi?????tulisema tukaonekana haters, ukweli utasimama milele
unga huu huu wa azam....mnavyopeleka wala madawa ya kulevya BBA mnategemea nini?hata kama elikeem alireact ni just for defence lakini alivumilia sana hadi yakamfika kooni. Mtumia unga ni mtumia unga tu. Sijui mliwaokota wapi.
unga huu huu wa azam....
UNAJUA natural herb for real meditation...unga is chemical.Hahahaha heri hata angepiga weed kama hlo lako, haha azam noumer
UNAJUA natural herb for real meditation...unga is chemical.
ivi kaka unajua maana ya upuuzi....kila mtu anaasira ila inatakiwa contral your tempere....sijui tungekuwa tunaishi kwa asira ingekuajeacheni upuuzi hakuna mkamilifu nando alipandwa na hasira kwasababu walimkwaza stop gudge him guyz!!
ivi kaka unajua maana ya upuuzi....kila mtu anaasira ila inatakiwa contral your tempere....sijui tungekuwa tunaishi kwa asira ingekuaje
and that why he is out the show cse he don fit in the showyeah ni kweli but all in all ni leality show so nando ameonyesha how real he is!
and that why he is out the show cse he don fit in the show
acheni upuuzi hakuna mkamilifu nando alipandwa na hasira kwasababu walimkwaza stop gudge him guyz!!
Acha kudandia habari wewe, toka ameingia ni mambo ya ajabu tu anafanya, yeye kila siku wanamuudhi????unajua alivyokuwa anamdis selly?unajua alishasema atamuoneshea drama sema tu after 3 days selly akawa evicted?Acha kutetea upuuzi kama ni mdogo wako peleka rehab mapema kabla hajabaka under 18
sijandandia habari but it seems una yenu na nando mbona mnamsema vibaya kiasi hicho vp kuhusu fedha anayegawa uroda?!!