Mwakilishi kutoka Tanzania Big Brother Afrika (BBA) apigana ndani ya jumba!

Mwakilishi kutoka Tanzania Big Brother Afrika (BBA) apigana ndani ya jumba!

na akaficha kiwembe kwenye mto ili amchane eli, yaani anatishia kuua ktk macho ya waafrica, huyu dogo co, na watu wengi wanalalamika kwamba biggie anamchukulia poa ingawa anaviolence tele, alitakiwa awe disqualify maana ana stick moja, na hili zogo kwa rules za da chase tayari ni wa kutoka huyu

na jana ucku kabla ya party alikuwa ananoa kisu,rafiki yake bimp akamsihi sana asiendenacho kwenye party
 
We better be fare to our souls.....Mwaka huu BBA mmebug meeeen......hata kama wamefika this far still ile ni adverse selection. Nilidhani nando ni mtu kumbe nae kiatu tu, mbona ana act sso confused?

mwanzoni walificha makucha,atleast watu wakawapenda....kumbe miezi mitatu ni mingi mno kuficha tabia yako halisi
 
Kumbuka aliingia na kisu kwenye party kisa kumuwinda Sulu.......kweli mwaka huu sjui wamewatoa wapi

kibongo bongo watu wengi wanaojua ki-inglishi ni wasomi na wenye maadili sio rahisi kujitokeza kwenda kuoga uchi.so inabidi kuchagua hao wachache walioshindikana.
 
fineass anasema anajua watu wamefurahi kwa masahibu yaliyompata,bila kukumbuka yanaweza mpata mtu yeyote. anapandishwa kizimban nxt week
ahsante jamani kwa updates
 
sio kila mtu anainterests kama zako, ndo maana ikawepo ikwa na maana kuwa mashabiki wa hyo kitu wapo. kama haikuhusu chapa lapa. kwanza ikawaje ukafungua huu uzi?
 
mnavyopeleka wala madawa ya kulevya BBA mnategemea nini?hata kama elikeem alireact ni just for defence lakini alivumilia sana hadi yakamfika kooni. Mtumia unga ni mtumia unga tu. Sijui mliwaokota wapi.
unga huu huu wa azam....
 
Mtoa mada umekosea huyo ni mshiriki kutoka Tanzania sio Mwakilishi hatuwez kuwakilishwa na Vichaa sie....
 
acheni upuuzi hakuna mkamilifu nando alipandwa na hasira kwasababu walimkwaza stop gudge him guyz!!
ivi kaka unajua maana ya upuuzi....kila mtu anaasira ila inatakiwa contral your tempere....sijui tungekuwa tunaishi kwa asira ingekuaje
 
ivi kaka unajua maana ya upuuzi....kila mtu anaasira ila inatakiwa contral your tempere....sijui tungekuwa tunaishi kwa asira ingekuaje

yeah ni kweli but all in all ni leality show so nando ameonyesha how real he is!
 
acheni upuuzi hakuna mkamilifu nando alipandwa na hasira kwasababu walimkwaza stop gudge him guyz!!

Acha kudandia habari wewe, toka ameingia ni mambo ya ajabu tu anafanya, yeye kila siku wanamuudhi????unajua alivyokuwa anamdis selly?unajua alishasema atamuoneshea drama sema tu after 3 days selly akawa evicted?Acha kutetea upuuzi kama ni mdogo wako peleka rehab mapema kabla hajabaka under 18
 
sijandandia habari but it seems una yenu na nando mbona mnamsema vibaya kiasi hicho vp kuhusu fedha anayegawa uroda?!!
 
sijandandia habari but it seems una yenu na nando mbona mnamsema vibaya kiasi hicho vp kuhusu fedha anayegawa uroda?!!

Mnajua kuweni fair. Hata kama si kwa public basi hata kwa nafsi zenu. Kwa aliyoyafanya nando mle na alivyokuwa anainteract na wenzake ni dhahiri kwamba kuna shida kwa yule dogo. Mimi ni mfwatiliaji mzuri wa BBA. Wewe hata Bimp humjui, unaonekana unaifwatilia BBA kwa matukio wanayopost fbook. Siwezi kuupaka uovu manukato ili uonekane mzuri hata kama ni wa nchi yangu. Narudia tena, peleka rehab fasta kabla hajabaka mtaani au hajachoma mtu kisu.
 
Back
Top Bottom