Mwakilishi kutoka Tanzania Big Brother Afrika (BBA) apigana ndani ya jumba!

inatosha hivyo ndivyo jinsi wa tz tulivyo angeshinda mngemuongelea na hata ameshwindwa mmeongea!
 
inatosha hivyo ndivyo jinsi wa tz tulivyo angeshinda mngemuongelea na hata ameshwindwa mmeongea!

Nimekuwa nikiyaongea toka siku nyingi sana kwani nilijua kuna siku yatalipuka wakaona kama nina hate. Okay bye tukutane mada nyingine mwaya.
 
jina lake la kweli ni Amir khan

Ndio maanake hilo ndilo jina lake, lakin multchoice tz wanaangalia vigezo gani ndio wakupeleke huko kwa kaka mkubwa..? Hapa Richie tu na Mwampamba ilikuwa bahati hata kuwapata...hebu kumbukeni Latoya,Bhoke mwenzie Lotus wote wa Eatv walifanya nini kule?...vigezo gani vinatumika kuwapata?...sisi mpira hola, bba nayo hola...kazi mchezo wa kujificha tuuu....multchoice amkeni tafuteni watu wajanja sio malimbukeni watafuta umaarufu kupitia nchi yetu,maana mtu akiingia pale akitoka anajitahid mbingu na ardhi zina mjua..bila kujali ataupataje huo umaarufu...wana tuharibia bhana.
 
west afrika wanajitahidi sana kuchagua,imagine mtu kama beverly yupo mpaka sasa iv kwa ajili ya ujanja tu wa kuishi na wenzie vizuri,ili wasimnominate utaona anaingia finally hivihivi coz wenzie hawamtaji ingawa afrika haimpendi,hata kwao nija hawamsapoti sana
 
Ndo hivo eviction imemfagia sulu na anaboobs. kaka yako nae ndo huyoooo ukampokee pale kipawa airport.

for sulu i didn't see it coming! yani bado siamini nilidhan elikem angetoka.... hii ishu ya nando imempa kiki elikem ameonekana mstaarabu mbele ya afrika. na west africans wamepiga sana kura kuhakikisha elikem anabaki ili kukomesha haters
 
Jmosi tu imepe kick...big NO, since Onezza watangaze vita dhidi ya elikeem watu walitaka kuprove kwamba wao sio Africa so Elikem haondoki. iLA Elikeem yupo cool. Fezza anamchukia tu as hakuweza kumpata na akamchukua Pokello.
 
acheni upuuzi hakuna mkamilifu nando alipandwa na hasira kwasababu walimkwaza stop gudge him guyz!!

hatukatai hasira zipo,elikem kweli anakera alishawahi gombana sana na natasha wa malawi,nando angejaribu kucontrol emotions zake,ukichukulia ile ni game....
 
Tabia za Arusha za kutembea na BETO anazileta Kwa Madiba,,Boya sana yule Dogo.

Hahaha mlipoteza hela zenu kupigia kura getto boy, me nalia na Babra tu, tuna watu wengi sana hapa home why atuletee mtu kutoka USA?heri hata angeenda Milard Ayo na Wema sepetu ningepiga kura kufa.
 
Jmosi tu imepe kick...big NO, since Onezza watangaze vita dhidi ya elikeem watu walitaka kuprove kwamba wao sio Africa so Elikem haondoki. iLA Elikeem yupo cool. Fezza anamchukia tu as hakuweza kumpata na akamchukua Pokello.

hapo kwenye bold ni statement ya mahaters ambayo siikubali hata kidogo.
walipokuwa diamond elikem alianzisha move kwa feza lkn feza aliweka pozi hakutaka kukubali haraka mpaka awe na uhakika na elikem.elikem akawa anajifanya yupo close na fatima kumuumiza feza.sikuona kama feza alimind. wiki ya pili elikem alikuwa swapped to ruby house.alivyofika huko elikim akaanzisha mahusiano na pokelo

feza alikuwa na target mbili oneal au melvin ambaye hakuonyesha dalili ya kutaka mahusiano,feza akastick kwa oneal na akahamia ruby.alimkuta kweli elikem ypo na pokelo still hakumind aliendelea kuwa na oneal wake. still alikuwa yupo cool sana na elikem mpaka wakapanga deal la kumpeleka pokelo diamond house ili elikem apumue maana pokelo alikuwa hamjali elikem

ogomvi wake na pokelo ndo ulifanya asimwamini tena elikem ndo wakawa maadui
 
Hapa tutakuwa tofauti, fezza alikuwa realy desperate baada ya vidume kutompa attention, hata baada ya kujipendeleza kwa hakeem na melvin alitolewa nje. Kwa Oneil alikwenda kwa kupunguza udesperado. HahahaHAHA
 
watu gani smart watakaokubal camera ziwaonyeshe ata wakiwa bafuni wanaoga.

acha waende wehu .
Na ndio maana mimi siku zote napinga hawa watu kuitwa wawakilishi wa Tanzania, na badala yake watambulike kama washiriki kutoka Tanzania, mimi binafsi siko tayari mtu aitwe ni muwakilishi wangu kwenye huu ushetani.
 
Aende akadeal na anger management huko kwao.
Kubwa zima lina act childishly.
Off the court

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"Matendo ya mtu ndani ya nyumba yanachuhuliwa kama matendo binafsi wala hayawakilishi nchi ya mhusika wala big brother-big brother africa"

Eti mwakilishi wa tanzania,hahahaha hivi ni lini alikabidhiwa bendera ya kuwakilisha tanzania?

Nimeshindwa kumtofautisha nando na mtu aliyechanganyikiwa,ningeshangaa sana mtu wa aina ya nando kusamehewa.hakika tabia haifichiki.
 
Aiseee na huyo soon atatolewa.
 
Aende akadeal na anger management huko kwao.
Kubwa zima lina act childishly.
Off the court

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sawa kabisa kaka huwezi fananisha tabia ya mtu na taifa huko ni kuko ni kukosa uzalendo wa taifa lako
 
Na ndio maana mimi siku zote napinga hawa watu kuitwa wawakilishi wa Tanzania, na badala yake watambulike kama washiriki kutoka Tanzania, mimi binafsi siko tayari mtu aitwe ni muwakilishi wangu kwenye huu ushetani.

wakifanya vizuri mnasema amewakilisha vizuri nchi.akiharibu mnakataa siyo mwakilishi wa tanzania bali ni mshiriki kutoka tanzania.....
 
wakifanya vizuri mnasema amewakilisha vizuri nchi.akiharibu mnakataa siyo mwakilishi wa tanzania bali ni mshiriki kutoka tanzania.....
Sijawahi kusupport BBA hata siku moja & over my dead body i will never do it, hata Richard alivyoshinda Bingo ya BBA nilihoji na kuwauliza watu waliokwenda Airport kumpokea je walikuwa na akili timamu?

wakifanya vizuri mnasema amewakilisha vizuri nchi.akiharibu mnakataa siyo mwakilishi wa tanzania bali ni mshiriki kutoka tanzania.....

waambie kaka na hata kama hawafuatilii bba wanacoment this ili iweje?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…