Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Mnajua kuweni fair. Hata kama si kwa public basi hata kwa nafsi zenu. Kwa aliyoyafanya nando mle na alivyokuwa anainteract na wenzake ni dhahiri kwamba kuna shida kwa yule dogo. Mimi ni mfwatiliaji mzuri wa BBA. Wewe hata Bimp humjui, unaonekana unaifwatilia BBA kwa matukio wanayopost fbook. Siwezi kuupaka uovu manukato ili uonekane mzuri hata kama ni wa nchi yangu. Narudia tena, peleka rehab fasta kabla hajabaka mtaani au hajachoma mtu kisu.
inatosha hivyo ndivyo jinsi wa tz tulivyo angeshinda mngemuongelea na hata ameshwindwa mmeongea!
