Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwakilishi wa Amani, Masoud Amour Masoud (CCM) akielezea masuala ya ajira na fursa za Muungano kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 18, 2026.
"Si kwamba wazanzibari tunabaguliwa katika ajira lakini ziko ajira hatuzitaki wenyewe."
"Ukiambiwa kuna ajira hoteli ya mtoto wako wa kike eh ya waiters tunasema oh hoteli kuna vinywaji hoteli sijui anavalishwa kimin skiketi hatuzitaki wenyewe."
"Anasema mtoto wangu wa kike m sitaki wenyewe tunazik kataa... tunasema huko huo sisi wazanzibari hatupewi jamani ajira zipo na zinapatikanwa lakini baadhi ya ajira na sisi wenyewe tunazichagua."
Soma Pia:

- Mbunge Mohamed Ali: Kama kuwatetea vijana wa Zanzibar kutavunja Muungano basi acha uvunjike
- Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi