GE2025 Mwakilishi wa CHADEMA, Mchome aibukia kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu,

Lembrus Mchome ameonekana akiwa kwenye mkutano wa CHAUMMA.

Kapigiwa shangwe la kufa mtu

Your browser is not able to display this video.
 
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

Mbowe ataendelea KUPIMA UPEPO hadi lini? Ajitokeze sasa na kupeperusha bendera ya ugombea U-rais kwenye chama chake, aache kujificha ficha.
 
Kusema ongo hadharani ni ujasiri, John Mrema ni mtaalamu wa uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…