Wacha upotoshaji, Chadema imezuiwa kufanya shughuli zozote za kisiasa nchini ili CCM ipumue, na huyo uliyemtaja kaja na mumewe hapo.Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA