GE2025 Mwakilishi wa CHADEMA, Mchome aibukia kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

Wacha upotoshaji, Chadema imezuiwa kufanya shughuli zozote za kisiasa nchini ili CCM ipumue, na huyo uliyemtaja kaja na mumewe hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…