Mwakilishi wa TANESCO: Mchakato wa kuuza umeme nchi jirani unaendelea

Mwakilishi wa TANESCO: Mchakato wa kuuza umeme nchi jirani unaendelea

huu wenyewe uliopo hautoshi, tatizo la kuingiza mashirika kwenye masuala ya siasa ndio kama hivi tena
 
🐒🐒🐒
87654412.jpg
 
Duh mnataka kutoa sadaka wakati watoto wenu wanalala na njaa.
Maajabu haya siku kina cha maji kikipungua mtawapa mgao au siyo?
 
Uganda hawana shida ya umeme kama tz,umeme wao ni stable kushinda sisi,kenya vile vile.

Sasa mnawauziaje umeme wakati sisi hapa nyumbani tunauhitaji kushinda hizo nchi?
 
before we even think of exporting power to neighboring countries, we better think of power distribution infrastructures, which lead to erratic power supply
mkuu amka usngzn basi,hizo infrastructure mbona kipnd Cha jpm hazkusumbua !??, Why now!!?.sema waache kutuhujumu Basi ,ndo tatzo kubwa kwa ss .
 
Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) limesema mchakato wa kuuza umeme nje ya nchi umeanza kwa kujenzi wa njia za kusambaza umeme huo kuelekea Malawi, Uganda na Kenya

Mwakilishi wa Shirika hilo, Odilo Mutalemwa amesema hayo kwenye Maonesho ya Sita ya viwanda yanayofanyika visiwani Zanzibar

Mutalemwa amesema “Tunategemea tutakapokuwa na umeme mwingi zaidi tutauza nje ya nchi. Sasa hivi tunaendeleza miradi mbalimbali ya kutengeneza njia kubwa za umeme (Transmission Line)”

View attachment 2036471

Hoja yangu:
Hivi haya maneno si kejeri kwa sisi ambao tunashindwa kufanya kazi za kutuletea kipato!

ITV nao wanahoji je mkakati wa kuuza umeme nchi za nje unakwenda sambamba na kuboresha huduma hiyo hapa nchini?
TANESCO kweli mnathubutu kuzungumzia ubora wa mtetea, wakati hata hilo yai la kumtotoa huyo kuku halipo!
 
Hiyo nchi itakayo jitoa muhanga kununua umeme toka TANESCO ijiandae kushuhudia umeme mdogo lakini pia ubunifu wa shirika letu wa zile komedi zao za kuwasha na kuzima.
 
Hiyo nchi itakayo jitoa muhanga kununua umeme toka TANESCO ijiandae kushuhudia umeme mdogo lakini pia ubunifu wa shirika letu wa zile komedi zao za kuwasha na kuzima.
Duuh! Kununua umeme wa tanesco ni kujitoa muhanga!
 
Back
Top Bottom