Mwakinyo aache kubebwa

Twaha anatakiwa ajengwe kwanza afike level za Mwakinyo hili tulinde thamani zao wote wawili kama wawakilishi wa nchi..yaani siku likiwekwa pambano lao wote wawe na thamani kama vile enzi zile Muhammad Ali na Joe Frazier au Tyson na Evender au hata Mayweather na Pacquiao kuwapambanisha sasahivi ni kuionea thamani na brand ya Mwakinyo aliyoijenga kwa tabu sana..Halafu huu mchezo wa kupigania sijui Magari,mara viroba vya ufuta ni kushusha thamani ya mchezo husika ipo siku mtu atakuja na gunia lake la uwele kutoka Mpwapwa halafu awatake mabondia wetu wapambane kama majogoo vile..All in all Twaha kiduku ni bondia mzuri na Mwakinyo pia ni bondia mzuri
 
Mwakinyo ameanza kujulikana London alipombabua mtasha hivyo mwakinyo anajua
 
Wakata vimeo wacheni nongwa, huyo Kiduku wenu mwambieni aache ndoto za kutaka kutembelea nyota ya Mwakinyo
MWAKINYO si mbabe Hana sababu ya kumuogopa Kiduku,, ampige round
Ya kwanza KO basi tujue moja
 
Mkuu tuko pamoja yaani muamuzi alimaliza pambano mapema kijanja,, hila jamaa alikuwa anaweza kuendelea na mwisho angeweza shinda Kama yule rasi wa south,, alipigwa round zote lakini ya mwisho yule dogo nilimuonea huruma
In both MMA and Boxing, a T.K.O. occurs when the referee determines that the fighter is unable to defend himself, despite being fully conscious.
 
Umeongea vizuri sana! No doubt you know this game well. I was a boxer myself in 1990's I know the game very well and I know how it hurt when someone does stupid figisu like that. I know The referee and he was very well officiating bouts back then. I"m pretty sure his decision was preplaned to favor Mwakinyo.
But there was no need for that since Mwakinyo had already started to show the upper hand against his opponent. It was just a matter of time Indingo was going to fall.
Kifupi amejiabisha na kutuaibisha watanzania.
Pia hata Chaurembo Palasa aliechezesha bout ya Tony Rashid na Bongani alikuwa anaonyesha upendeleo wa wazi. Kwa mfano kila wakati alikuwa anamuonya Bongani kwa kukimbia kwenye ulingo, sijui maamuzi hayo alijifunzia wapi? Ilikuwa ni kutaka kumpa favour Tony. Kama ni mfuatiliaji was ngumi kaangalie pambano la marudiano kati ya Sugar ray Leonard vs Robert Duran. Uone jinsi Sugar alivyokuwa anamkimbia na kumfrustrate Duran.
Kifupi hatuna marefa au njaa zunawasumbua wanabakia kupendelea waziwazi!
Hata hivyo
Hongera Mwakinyo kwa ushindi, ushindi ni ushindi tu!!!
 
Umeanza vizuri umekuja vurunda mwishoni
 
Mwakinyo ni bondia mzuri na mapambano yake yanaandaliwa kimkakati hawajiokotei tu wa kupigana naye,ipo list kabisa ya mabondia kwa viwango vyao vinavyotambulika na shirikisho la ngumi Afrika na Dunia..

Kuhusu kuzichapa Mwakinyo na Kiduku kwasasa ni ngumu kwa kuwa kwanza hawako na uzito sawa hivyo wakitaka kupigana itabidi mmoja apande uzito ama ashushe uzito wake..
 
Kwakwel juz nliboreka Sana..nimenunua safar yangu baridiii,.Yan hata pafu tatu hazijaisha refa anamaliza pambano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…