Bila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.
Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili