Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Binti wa kitasha anamwambia nini mwakinyo?Nikweli ni sehemu ya maisha Bongo,ila hizi sababu kama unaakili timamu unazielewa? Mwanao akikujia na sababu kama hizi unaweza kumuelewa?
View attachment 2345271
Kuna clip nasikia alionekana walifanya wote mazoezi... Deal done! Anyway.Hilo halihitaji hata uwe mtaalam wa biashara halamu,maana wanafahamiana na amewahi fanya naye mazoezi
Mkuu title umeandikaBila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.
Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili
Amebet vip? Wakati tayari alikuwa analipwa dollars 100,000Amebet
Amebet vip? Wakati tayari alikuwa analipwa dollars 100,000
Amebet vip? Wakati tayari alikuwa analipwa dollars 100,000
Unajua maana ya kuuza mechi?Amebet vip? Wakati tayari alikuwa analipwa dollars 100,000
Sijui ndo nataka unifafanulie? Na ananufaika vipi na kuuza hiyo mechiUnajua maana ya kuuza mechi?
Anapewa hela.anaambiwa jifanye umeumia.upigwe watu wa betting waingize mpunga.una swali lingine?Sijui ndo nataka unifafanulie? Na ananufaika vipi na kuuza hiyo mechi
Inasemekana Kalamba Dola 300,000 Kutoka Kwa watu Wakubeti Toka Urusi Unaambiwa Anguka round Ya nne... Watu Wanastake ela Nying wanatajilika Kiulaini... Kwenye Boxing Nikawaida Sanaa ii Ata Yeye Bondia Aliokuwa Anawaleta Wanapozwa Wasikaze SanaaSijui ndo nataka unifafanulie? Na ananufaika vipi na kuuza hiyo mechi
Kuna clip nasikia alionekana walifanya wote mazoezi... Deal done! Anyway.
Wengine wanasema watu wa betting wamenunua mechi wakashinda na kuvuta mkwanja mrefu naye Mwakinyo akavuta USD 300,000 na yake halali ya mshindwa USD 100,000. Hebu badilisha mkwanja huo kwa madafu money!Bila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.
Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili
Hapa kidgo umenipa ufahamu! Sasa mpunga anakuwa anapewa before pambano au baada ya pambano? Hakuna kuingizana mjini kweli.hahahahaInasemekana Kalamba Dola 300,000 Kutoka Kwa watu Wakubeti Toka Urusi Unaambiwa Anguka round Ya nne... Watu Wanastake ela Nying wanatajilika Kiulaini... Kwenye Boxing Nikawaida Sanaa ii Ata Yeye Bondia Aliokuwa Anawaleta Wanapozwa Wasikaze Sanaa
*****! Hata mimi ningeuza pambano,haiwezekani baada ya miaka 10 nguvu za ubondia zimeisha halafu na piga vizinga washkaji kwa njaa.hahahaWengine wanasema watu wa betting wamenunua mechi wakashinda na kuvuta mkwanja mrefu naye Mwakinyo akavuta USD 300,000 na yake halali ya mshindwa USD 100,000. Hebu badilisha mkwanja huo kwa madafu money!
Dah! Acha kijana atengeneze maisha,hata mimi ningeuza sio kwa mkwanja huoAnapewa hela.anaambiwa jifanye umeumia.upigwe watu wa betting waingize mpunga.una swali lingine?
Nilidhan kule tanga wa kike tu ndio beki hazikab lkn kumbe hata wa kiume walewale tu[emoji41][emoji41][emoji41]Bila ya salamu
Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu. Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha kumkubalia kupambana nae ili kimsaidie kumvushia jina lake kimataifa zaidi huku yeye Liam akinufaika na ushindi huu ambao unakwenda kumpa nafasi ya kugombania ubingwa wa dunia.
Asante mwakinyo kwa kutulaza saa 7 za usiku maana nilikaa macho katika jiji la Larnaca hapa cyprus nikifuatilia pambano hili
Ujue sisi hatulalamiki kupigwa kwa mwakinyo tatizo kapigajwe.pigwa ngumi moja uende chini.tutajua kweli ulizidiwaDah! Acha kijana atengeneze maisha,hata mimi ningeuza sio kwa mkwanja huo
Dah! Acha kijana atengeneze maisha,hata mimi ningeuza sio kwa mkwanja huo
Hahahaha! Kama chadema walinunuliwa kwenda CCM,yeye ni nani?Ujue sisi hatulalamiki kupigwa kwa mwakinyo tatizo kapigajwe.pigwa ngumi moja uende chini.tutajua kweli ulizidiwa