Mwakinyo ameishia kuwa mwanamitindo

Mwakinyo ameishia kuwa mwanamitindo

Keshaleft grup, one man down[emoji26]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu DeepPond habari yako? samahani naomba kuuliza ubora wa friji za double door za Thailand,kuna moja nimeiona Mwanza liter zaidi ya 400 bei ni 1.4m...nafikiria kuinunua.
Pia,chumba changu kina joto sana,nahitaji something good,stylish and affordable kwa ajili ya kupoza hewa. Naomba options zilizopo za Air cooler nzuri. Kuna moja nilienda kuona dukani muuzaji aliniambia inauzwa 260k lakini alisema inatoa tu upepo,nikamuuliza ina tofauti gani na feni akasema ni sawa tu,tofauti ni shepu. Sikupendezwa na maelezo yake that's why nikaona nije nikuulize kwanza,ikiwezekana tufanye biashara ntakaporidhika.
 
Back
Top Bottom