Mwakinyo anataka apewe milioni 500 ili apambane na Kiduku

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Baada ya watanzania kuonesha shauku ya kumuona bondia namba moja Africa, Hassan Mwankinyo akipanda ulingoni na local boxer Twaha Kiduku.

Mwakinyo ametoa bei yake ya kupanda ulingoni sh million 500 za kitanzania na hana maelekezo mapya.

Waliomfata kulialia kawarudisha na mil 200 zao.

Champez kaweka standard anayetaka kumuona kwenye ring na aweke hela.period
 
Hivi unaona kweli Heading uliyoweka inaakisi Yaliyomo ?
 
Ni sahihi kabisa hizi ni kazi na biashara za watu wasifanye mambo kienyeji, kama ndio hela aliyozoea kulipwa huko nje basi hawana budi kumlipa hiyo, wasimlazimishe aishushe thamani yake eti kisa mashabiki wanataka kuona nani mbabe kati yao waweke mzigo pambano lichezwe fullstop..
 
Champez hana masihara na kazi yake ndio maana mapromota majalala hawampendi.

Kiduku anaenda kupata maisha kupitia mwakinyo nae si haba ataondoka na mpunga hajawai ota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…