Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Hakuna kitu kama hiko. Anapewa 500M kwa ngumi zipi? We unajua 500M au unajisemea tu ukiwa unauza kahawa na kashata hapo sinza kijiweni? Tuambie, promote gani anayetoa hizo 500M? Au Dayamond aliyempa zawadi Dvoice cheni ya Tsh 150M. Pumbavu kabisa wewe. Hivi hiko kichwa unatumia kufanyia nini maana unatumia makalio kufikiria.Hapa kilichokupa maumivu ni kusikia kuna kijana anaenda kupata mil 500 nothing else.
Roho mbaya na chuki ni ugonjwa chronic kwa vijana wengi wa kiswahil kama wewe kiande