Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Hakuna kitu kama hiko. Anapewa 500M kwa ngumi zipi? We unajua 500M au unajisemea tu ukiwa unauza kahawa na kashata hapo sinza kijiweni? Tuambie, promote gani anayetoa hizo 500M? Au Dayamond aliyempa zawadi Dvoice cheni ya Tsh 150M. Pumbavu kabisa wewe. Hivi hiko kichwa unatumia kufanyia nini maana unatumia makalio kufikiria.Hapa kilichokupa maumivu ni kusikia kuna kijana anaenda kupata mil 500 nothing else.
Roho mbaya na chuki ni ugonjwa chronic kwa vijana wengi wa kiswahil kama wewe kiande
Maisha ni pesa, sio umwamba wakipumbavu...Mdigo anajikuta Anthony Joshua. Kaenda duga kuangalia ramli kaona atachezea za uso anaweka vikwazo vya bei.
Tafuta pesa uache makasiriko ya kukasirikia watu ovyo , tibu umaskini wakoHakuna kitu kama hiko. Anapewa 500M kwa ngumi zipi? We unajua 500M au unajisemea tu ukiwa unauza kahawa na kashata hapo sinza kijiweni? Tuambie, promote gani anayetoa hizo 500M? Au Dayamond aliyempa zawadi Dvoice cheni ya Tsh 150M. Pumbavu kabisa wewe. Hivi hiko kichwa unatumia kufanyia nini maana unatumia makalio kufikiria.
Wacha weeeeee, maskini na vijana ndio mnatafuta pesa. Si wazee hatutafuti pesa bali pesa ndio inatutafuta. Tulishweka misingi na mifereji mizuri so pesa zinatufuata zenyewe pitia hiyo mifereji.Tafuta pesa uache makasiriko ya kukasirikia watu ovyo , tibu umaskini wako
Ile na mghana sio?? Duuh sema jamaa anajiamin, 500m sio haba kwa ngumi bongoKwani kule kizimkazi alipewa milioni ngapi?!
Wewe unaonesha una umasikini wa kutupwa sio kwa makasiriko hayoHakuna kitu kama hiko. Anapewa 500M kwa ngumi zipi? We unajua 500M au unajisemea tu ukiwa unauza kahawa na kashata hapo sinza kijiweni? Tuambie, promote gani anayetoa hizo 500M? Au Dayamond aliyempa zawadi Dvoice cheni ya Tsh 150M. Pumbavu kabisa wewe. Hivi hiko kichwa unatumia kufanyia nini maana unatumia makalio kufikiria.
Mbona unaandika kama unasukumiwa moto? Jibu, promote gani huyo anayetoa Milioni 500 kwa Mwakinyo? Je atarudishaje hiyo pesa yake? Pumbavu kabisa wewe dogo.Wewe unaonesha una umasikini wa kutupwa sio kwa makasiriko hayo
Angalau wewe umesema kitu? Vipi kiduku yeye atapigana bure? Vipi kuhusu gharama za maandalizi ya uwanja/Ukumbi, vipi kuhusu gharama za kukodi uwanja/Ukumbi. Vipi kuhusu mabondia watakaopogana mapambano ya utangulizi, wao watapigana bure? Je hao mashabiki watakaonunua ticket kwa bei ya chini 30,000 watatoka wapi kwenye boxing ikiwa tu Simba/Yanga wakitangaza kiingilia cha chini cha 10,000 mashabiki hawaendi. Hii ya kutaka 500M, mwakinyo alikuwa anajifurahisha na kujikweza tu kama kawaida yake.Tsh 500M inapatikana, itapatikana ikiwa hiyo fight itajaza Benjamin Mkapa stadium kwa kiingilio cha kima cha chini TSh 30,000/=,hapo ni nje na pay per view. Lakini pambano linaweza fanywa mlimani city hall kwa kiingilio cha kima cha chini TSh 3M, swali nijee hao mabondia wanapendwa kiasi hicho kuvuta mashabiki au watanzania wanamapenzi hayo na mchezo huo wangumi kulipa gharama hizo za kiingilio.
Amekataa kijanjaAngalau wewe umesema kitu? Vipi kiduku yeye atapigana bure? Vipi kuhusu gharama za maandalizi ya uwanja/Ukumbi, vipi kuhusu gharama za kukodi uwanja/Ukumbi. Vipi kuhusu mabondia watakaopogana mapambano ya utangulizi, wao watapigana bure? Je hao mashabiki watakaonunua ticket kwa bei ya chini 30,000 watatoka wapi kwenye boxing ikiwa tu Simba/Yanga wakitangaza kiingilia cha chini cha 10,000 mashabiki hawaendi. Hii ya kutaka 500M, mwakinyo alikuwa anajifurahisha na kujikweza tu kama kawaida yake.
Mahesabu yako ya kizamani sana hujui sikuizi kina Hadi haki za matangazo ya tv na mitandaoni na Bado na wadhaminiAngalau wewe umesema kitu? Vipi kiduku yeye atapigana bure? Vipi kuhusu gharama za maandalizi ya uwanja/Ukumbi, vipi kuhusu gharama za kukodi uwanja/Ukumbi. Vipi kuhusu mabondia watakaopogana mapambano ya utangulizi, wao watapigana bure? Je hao mashabiki watakaonunua ticket kwa bei ya chini 30,000 watatoka wapi kwenye boxing ikiwa tu Simba/Yanga wakitangaza kiingilia cha chini cha 10,000 mashabiki hawaendi. Hii ya kutaka 500M, mwakinyo alikuwa anajifurahisha na kujikweza tu kama kawaida yake.
Poapoa tumekusikia. Haya turudi kwenye mada husika, unazungumziaje dau hilo.Mwakinyo anamwogopa kiduku zaidi ya UKIMWI
Mapambano kama hayo pesa huwa haipatikani kwa viingilio, wadhamini watafix kila kitu.Tsh 500M inapatikana, itapatikana ikiwa hiyo fight itajaza Benjamin Mkapa stadium kwa kiingilio cha kima cha chini TSh 30,000/=,hapo ni nje na pay per view. Lakini pambano linaweza fanywa mlimani city hall kwa kiingilio cha kima cha chini TSh 3M, swali nijee hao mabondia wanapendwa kiasi hicho kuvuta mashabiki au watanzania wanamapenzi hayo na mchezo huo wangumi kulipa gharama hizo za kiingilio.
Acha dharauKiduku hata akipewa laki saba mwendo
Wewe ni mzee ambaye huna busara sijui unalea vipi familia yakoMbona unaandika kama unasukumiwa moto? Jibu, promote gani huyo anayetoa Milioni 500 kwa Mwakinyo? Je atarudishaje hiyo pesa yake? Pumbavu kabisa wewe dogo.