Mwakinyo ashikiliwa na Polisi Tanga, akituhumiwa kum-shambulia mtu

Sasa waizi wakija majumbani kwetu tusiwafanye chochote mpaka Polisi waje?
 
Kama alikuwa na matatizo ya akili je?
 
Kama aliingia kwa lengo la kwenda kuiba mwacheni Mwakinyo bila masharti yeyote...Wezi wanarudisha nyuma maendeleo...Na alimuonea huruma ilibidi mje kumchukua huyo mwizi hajitambui.
 
Yule jamaa alivyo pigwa kukatwa na kisu Hadi kufunguliwa mbwa mwakinyo ni mnyama sizani kama ata ana mke
 
Mtu ameingia nyumbani kwako bila ruhusa (Trespass) kwa lengo usilolijua aidha kukudhuru, kukuibia, kukubambikizia madawa, n.k.

Sioni shida ya kumshushia kichapo, labda kama ni mtoto mdogo au mwanamke
Kwamba mwanamke hawezi kua adui?

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu mwenye ruhusa ya kutoa hukumu ya kosa lolote isipokuwa mahakama.
Kwahiyo mwakinyo nae amejichukulia Sheria mkononi Hivyo nae ni mtuhumiwa wa uharifu Tu kama wahalifu wengine.
Hio hai-apply kwenye issue ya tresspassing.. mbaya zaidi usiku kwenye eneo lenye fence..
Mtu anaruhusiwa kulinda mali na mwili wake kivyovyote vile maana hajui ulikuja kuiba nazi tu au kuna mengine..
Sema hata hivyo jamaa inaonekana ana nature ukatili tu, kulikuwa hamna haja ya kumuumiza sana baada ya kumdhibiti na kujiridhisha hana silaha..
Ila kisheria naona kama hana kesi.
 
Don't kill the comedy, huyu mwamba hayupo serious, ameamua kuchekesha kidogo...ngumi kidogo, comedy kidogo...life is too short..
 
Alishindwa kuruka ukuta vizuri akaanguka

Hivi kweli mwamba alikosa sehemu za kuvamia mpaka akaenda kwa mwakinyo
Yan leo uende kuruka ukuta wa yule Myukrein Oleksandr Usyk wakati unajua wazi kabisa hata Tyson furry angekuwa mwizi asingeenda kuruka ukute wa bwana Usyk....watu bwana Yan on his Prime Mike Iron Tyson unaenda kufanya ukibaka nyumbani kwake wakati unaona mijitu futi 7 inadondoka kama milingoti mafinga hapo, daaah. Leo ituchanganye nyumbani kwa Francis Nganou sijui hata kuandika jina lake la pili huwez kutoka salama
 
SI unajiona punching bag
 
Nimewasikiliza majirani wa Mwakinyo wakisema kuwa anazingua muda mrefu tu.Mwakinyo kalewa sifa,anajiona yeye ndiyo yeye,hana heshima na adabu kwa majirani zake,inasemekana kawashika viongozi wengi wa mtaa na polisi.Mwakinyo inabidi apewe fundisho pimbi yule ili asirudie upumbavu wake.Ikishindikana aje mtu na vinyama vya mshikaki avitie sumu aanze na mbwa wake,mpuuzi sana yule na roho yake mbaya na yawezekana si mtu wa tanga,watu wa tanga hawana roho kama yake,inawezekana ana asili ya rwanda pimbi yule.
 
Vijana wa Tanga kazi hamtaki kufanya mnachotaka ni kuiba au kupigwa pipe mpate hela ya kustarehe. Mwanknyo kapiga mwizi sisi huku tulipo tunaua kabisa. Yani nikukute ndani kwangu saa 10 usiku alafu utoke unapumua ushukuru Mungu
 
Vijana wa Tanga kazi hamtaki kufanya mnachotaka ni kuiba au kupigwa pipe mpate hela ya kustarehe. Mwanknyo kapiga mwizi sisi huku tulipo tunaua kabisa. Yani nikukute ndani kwangu saa 10 usiku alafu utoke unapumua ushukuru Mungu
Acha matusi we kipapa unafikiri kila mtu yuko bongo
 
Mtu ameingia nyumbani kwako bila ruhusa (Trespass) kwa lengo usilolijua aidha kukudhuru, kukuibia, kukubambikizia madawa, n.k.

Sioni shida ya kumshushia kichapo, labda kama ni mtoto mdogo au mwanamke
Nyie ndio hata hamjui sheria za nchi kiasi kwamba inawagharimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…