Amepigana vizuri sana...hakuna kupaki basi...sio kama siku ile ya mfilipino alikuwa anakimbia kimbia tuMwakinyo kabadilika sanaaa kwenye hii game sanaaa... hongera sana kwa makocha wamembadilisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepigana vizuri sana...hakuna kupaki basi...sio kama siku ile ya mfilipino alikuwa anakimbia kimbia tuMwakinyo kabadilika sanaaa kwenye hii game sanaaa... hongera sana kwa makocha wamembadilisha sana
Mara hii umeshasahau maneno aliyomtolea legendary rashid?Dharau zake Ni zipi?
Mi nafikiri mnufaika mkuu atakuwa mwakinyo kwakuwa it's all about money, na mwakinyo yupo kwenye nafasi nzuri sana ya kutaja dau kuliko kidukuMWAKINYO HATAKI KUPIGANA NA KIDUKU, NYIE MNALAZIMISHA MKOJE LAKINI?
Iko wazi wakipigana mnufaika ni kiduku, mwakinyo hana cha kupata akipigana na kiduku.
Hata akishinda wabongo mtaibua zogo jingine,
Twaha anasifika sana sababu tu mwakinyo hapendwi na baadhi ya watu, kutokana na mdomo wake.
Ukiangalia mechi na Sam( Uingereza), Gonzalez ( Kenya) na Nyingine utazoweza, Utagundua kuwa kwa skills za Boxing Mwakinyo kamzidi parefu twaha.
Pesa ya pambano la Ndani haiwezi kuwa kubwa kutisha....Mi nafikiri mnufaika mkuu atakuwa mwakinyo kwakuwa it's all about money, na mwakinyo yupo kwenye nafasi nzuri sana ya kutaja dau kuliko kiduku