Dharau zake Ni zipi?Anadharau sana ,sio kidogo.
Fatilia interview ya Twaha red carpet kabda ya pambano then mskilize Mwakinyo baada ya ushindi utajua dharau zake zipo wapi.Dharau zake Ni zipi?
Mimi huyu jamaa niliacha kumfatilia tangu siku ile alipomdharau Matumla nkagundua ana dharau mno.Fatilia interview ya Twaha red carpet kabda ya pambano then mskilize Mwakinyo baada ya ushindi utajua dharau zake zipo wapi.
Nanukuu. :
Mtangazaji : " vipi bado unamtaka Mwakinyo"
Twaha Kiduku " kutakana ni jambo la kawaida kwenye box duniani kote ila imeonekana kama nataka bifu hivyo nimeamua kuacha "
Mwakinyo: "Mara zote nawaambia Watanzania wote na mashabiki zangu mechi zinakua ngumu kutokana na uzito wa wapinzani na kutokana na udhaifu wa mbinu za makocha wetu lakini mimi sio boxa wakufananishwa na boxa yeyote Tanzania , nadhani leo nimetoka kuonesha kiwango ambacho hata hawo wanaonitajataja itakuwa ndo mwisho wao kuongea kwasababu wao wanacheza na mabondia welevi afu wanajiona Maboxa. Mimi ndio Tanzania one me nasema mimi ndio Tanzania one "
Ndugu yake na Rostam uyoMbona mnasema huyo Mu Argentina ni mchunga ng'ombe huko kwao? Halafu nimemsikia mwengine akipayuka kuwa huyo Mzungu ni mpiga debe wa daladala za kariakoo hivyo kafanya kukamatwa jana asubuhi akapelekwa kambi! Pumbaf kubalini nyumbani, mchezo huu hauna kura za sandarusi.
Uyo dogo ni mpumbavu sana mwakinyo ni mshenzi sanaFatilia interview ya Twaha red carpet kabda ya pambano then mskilize Mwakinyo baada ya ushindi utajua dharau zake zipo wapi.
Nanukuu. :
Mtangazaji : " vipi bado unamtaka Mwakinyo"
Twaha Kiduku " kutakana ni jambo la kawaida kwenye box duniani kote ila imeonekana kama nataka bifu hivyo nimeamua kuacha "
Mwakinyo: "Mara zote nawaambia Watanzania wote na mashabiki zangu mechi zinakua ngumu kutokana na uzito wa wapinzani na kutokana na udhaifu wa mbinu za makocha wetu lakini mimi sio boxa wakufananishwa na boxa yeyote Tanzania , nadhani leo nimetoka kuonesha kiwango ambacho hata hawo wanaonitajataja itakuwa ndo mwisho wao kuongea kwasababu wao wanacheza na mabondia welevi afu wanajiona Maboxa. Mimi ndio Tanzania one me nasema mimi ndio Tanzania one "
Hizo Ni Tambo na ndio michezo ya ngumi ilivyo au wewe Ni mgeni wa haya mambo hiv umewahi kumsikia Tambo za maywether au Mohammed Ali Hawa jamaa wanamaneno haswa kuliko hata huyo mwakinyo, Mwakinyo hapo kaongea kawaida Sana Tena hao wanaenda mbali mpaka sometime wanawatukana wapinzani waoFatilia interview ya Twaha red carpet kabda ya pambano then mskilize Mwakinyo baada ya ushindi utajua dharau zake zipo wapi.
Nanukuu. :
Mtangazaji : " vipi bado unamtaka Mwakinyo"
Twaha Kiduku " kutakana ni jambo la kawaida kwenye box duniani kote ila imeonekana kama nataka bifu hivyo nimeamua kuacha "
Mwakinyo: "Mara zote nawaambia Watanzania wote na mashabiki zangu mechi zinakua ngumu kutokana na uzito wa wapinzani na kutokana na udhaifu wa mbinu za makocha wetu lakini mimi sio boxa wakufananishwa na boxa yeyote Tanzania , nadhani leo nimetoka kuonesha kiwango ambacho hata hawo wanaonitajataja itakuwa ndo mwisho wao kuongea kwasababu wao wanacheza na mabondia welevi afu wanajiona Maboxa. Mimi ndio Tanzania one me nasema mimi ndio Tanzania one "
Shida anaongea sana afu anakimbia pambano. Twaha Kiduku anamtamani leo kesho na watu washafika dau ila anakimbia then anatuletea taarabu tuHizo Ni Tambo na ndio michezo ya ngumi ilivyo au wewe Ni mgeni wa haya mambo hiv umewahi kumsikia Tambo za maywether au Mohammed Ali Hawa jamaa wanamaneno haswa kuliko hata huyo mwakinyo, Mwakinyo hapo kaongea kawaida Sana Tena hao wanaenda mbali mpaka sometime wanawatukana wapinzani wao
Hao wanaongea halafu wanayabackup maneno yao, sijawahi kusikia Mayweather anakataa kupigana na bondia eti kisa ni 'local' yaani mmarekani mwenzake, kuna sababu nyingine za kueleweka mfano kutoafikiana dau, au matchup haitaweza kufanya vizuri kibiashara n.k, lakini sababu anazozitoa Mwakinyo sio za kimchezo, zaidi anatufanya tumuone ana dharau na anamuogopa KidukuHizo Ni Tambo na ndio michezo ya ngumi ilivyo au wewe Ni mgeni wa haya mambo hiv umewahi kumsikia Tambo za maywether au Mohammed Ali Hawa jamaa wanamaneno haswa kuliko hata huyo mwakinyo, Mwakinyo hapo kaongea kawaida Sana Tena hao wanaenda mbali mpaka sometime wanawatukana wapinzani wao
Anakimbia kivip?mbona ametoa sababu kabisa kwanini apigani na kiduku au ujui?Shida anaongea sana afu anakimbia pambano. Twaha Kiduku anamtamani leo kesho na watu washafika dau ila anakimbia then anatuletea taarabu tu
Huyo Kiduku apambane kufika alipo mwenzake asitake shortcut, Muda ukifika watapigana tu.Shida anaongea sana afu anakimbia pambano. Twaha Kiduku anamtamani leo kesho na watu washafika dau ila anakimbia then anatuletea taarabu tu
Fatilia interview ya Twaha red carpet kabda ya pambano then mskilize Mwakinyo baada ya ushindi utajua dharau zake zipo wapi.
Nanukuu. :
Mtangazaji : " vipi bado unamtaka Mwakinyo"
Twaha Kiduku " kutakana ni jambo la kawaida kwenye box duniani kote ila imeonekana kama nataka bifu hivyo nimeamua kuacha "
Mwakinyo: "Mara zote nawaambia Watanzania wote na mashabiki zangu mechi zinakua ngumu kutokana na uzito wa wapinzani na kutokana na udhaifu wa mbinu za makocha wetu lakini mimi sio boxa wakufananishwa na boxa yeyote Tanzania , nadhani leo nimetoka kuonesha kiwango ambacho hata hawo wanaonitajataja itakuwa ndo mwisho wao kuongea kwasababu wao wanacheza na mabondia welevi afu wanajiona Maboxa. Mimi ndio Tanzania one me nasema mimi ndio Tanzania one "
Ahahah wabongo bwana..sasa floyd mayweather naye utamtolea comment zipi ..hayo ni maneno tu ya michezo kama ilivyo katika mpira.. Muhimu usitukane ..hahaha hizo ni mbinu za marketing ..wewe angalia mapambano ya Floyd au Wielder ...tena namwambia azidishe watu wapande madau sasa....Mimi huyu jamaa niliacha kumfatilia tangu siku ile alipomdharau Matumla nkagundua ana dharau mno.
Hii tabia ya kuleta wauza Madafu haitasaidia kuinua viwango vya mabondia wa Tanzania
Duuh..wachawi hua hamkosekani ...mkuu hadi sasa una matunguli mangapi ya kazi zakoPaz piga hiyo kunguni ya Tanga[emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434], team Paz tujuane mapema