Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Kwa sababu pambano limeingizwa siasa nyingi. Halafu limefanywa kama vile tayari Mwakinyo alishashinda, yaani haijakaa vizuri. Ngumi zina tabia ya kushangaza watu.
Mnakumbuka mashabiki wa Anthony Joshua tulivyoshangazwa na Andy Ruiz Jr? Yaani polls zote asilimia kubwa zilitabiri AJ angeshinda round ya kwanza, lakini tulichokiona kilituduwaza.
Wengi pia tulifikiri Deontay Wilder angemchakaza Tyson Fury, lakini kilichotokea tuliona.
Hata siku ya kwanza Mike Tyson aliposhangazwa hakuamini!
Ushauri:
Mwakinyo akitaka kushinda leo awe makini, amheshimu mpinzani wake na amchukulie serious sana. Anapokuwa pale ulingoni asahau masifa yote anayomwagiwa, ajue mpinzani wake anaweza kushinda pia, kwahiyo apige kazi kazi.