Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Ralph Tyler

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
2,828
Reaction score
3,579
Kwa sababu pambano limeingizwa siasa nyingi. Halafu limefanywa kama vile tayari Mwakinyo alishashinda, yaani haijakaa vizuri. Ngumi zina tabia ya kushangaza watu.
Mnakumbuka mashabiki wa Anthony Joshua tulivyoshangazwa na Andy Ruiz Jr? Yaani polls zote asilimia kubwa zilitabiri AJ angeshinda round ya kwanza, lakini tulichokiona kilituduwaza.
Wengi pia tulifikiri Deontay Wilder angemchakaza Tyson Fury, lakini kilichotokea tuliona.
Hata siku ya kwanza Mike Tyson aliposhangazwa hakuamini!

Ushauri:
Mwakinyo akitaka kushinda leo awe makini, amheshimu mpinzani wake na amchukulie serious sana. Anapokuwa pale ulingoni asahau masifa yote anayomwagiwa, ajue mpinzani wake anaweza kushinda pia, kwahiyo apige kazi kazi.
 
Kwa hakika leo nimeona nami nijumuike wadau wa masumbwi uwanja wa uhuru kwa mara ya kwanza kuangalia masumbwi.
Watu ni wengi na tiketi kufikia muda huu inasemekana zimeisha.Polisi wamepewa jukumu la kusimamia watu kuingia uwanjani.Ila ugumu wa maisha sitaki niseme ila polisi acha na wao leo wale na vipofu.
Maelfu ya watu wanazidi kumimika tutazidi kupeana update.
Ulingo hauonekani vizuri sijajua huu ubunifu wa ulingo nani kaleta ila sio mbaya sana maana hautupi kuona kisawasawa.Sound ipo powa sana na muziki ni mwanana ila mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]karibuni wote!
Mungu ibariki Tanzania.
Ushindi lazima.
 
Asante kwa uchambuzi mzuri ukigonga pande zote, sio MTU kuponda tu
 
Kwa hakika leo nimeona nami nijumuike wadau wa masumbwi uwanja wa uhuru kwa mara ya kwanza kuangalia masumbwi.
Watu ni wengi na tiketi kufikia muda huu inasemekana zimeisha.Polisi wamepewa jukumu la kusimamia watu kuingia uwanjani.Ila ugumu wa maisha sitaki niseme ila polisi acha na wao leo wale na vipofu.
Maelfu ya watu wanazidi kumimika tutazidi kupeana update.
Ulingo hauonekani vizuri sijajua huu ubunifu wa ulingo nani kaleta ila sio mbaya sana maana hautupi kuona kisawasawa.Sound ipo powa sana na muziki ni mwanana ila mambo ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]karibuni wote!
Mungu ibariki Tanzania.
Ushindi lazima.
Pambano saa ngapi mkuu? kama vipi nichukue boda hapa.
 
Ujitahidi kuutendea haki huu uzi, kila jambo utakaloona weka hapa. Pamba uzi wako kwa picha pia.

Natabiri mpambano huu hautakuwa na Knockout. Mliolipa pesa zenu mta enjoy pambano.
 
Mwakinyo namkubali sana ila muhimu ni kuzingatia ushauri wako.
 
Kama kuna watu wako hapa uwanjani na wanasimu zenye kamera kubwa mnaombwa kushare picha hapa.
 
Mamia ya watu wanazidi kumiminika.ni shangwe tu hapa uwanjani.Wengi ni wanaume wanawake/wadada sio wengi sana.
 
Hakuna aliyekuwa anaamini kuwa deontay angemchakaza tyson fury.labda mtu ambaye hakuwa akimfaham Tyson Fury. Kwa tunaofaham masumbwi tulikuwa tunajua lile pambano ni 50/50 sababu tunamfaham fury.kwa A.J sawa .ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom