google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Vibanda umiza kitu kidogo sherehe kwaoVipi kuna nini kimejiri mbona nasikia kelele kwenye mabanda ya maonesho
@masaidada em lete updates mdada,Round 6
Mwakinyo kachangamka
Duuuuh hatariMlipino 60% Mwakinyo 40%
Azam tv chanel gani, au access yake mpaka uunge bundle la 18k?Nadhani haki ya kurusha pambano hilo ipo kwa Azam Tv ndiyo maana YouTube mambo yameenda kombo.
Mwakinyo anahati hati ya kupoteza@masaidada em lete updates mdada,
nani anachapjka huko
Atapoteza kwa point, mfilipino anarusha ngumi za haraka ...Duuuuh hatari
Azam Sport 2 wanarusha pambano hilo.Azam tv chanel gani, au access yake mpaka uunge bundle la 18k?
Unaweza kusikia makelele ukadhani goli kuna bwege kapigwa tobo au kanzuVibanda umiza kitu kidogo sherehe kwao
Tinampay anashinda, huyu mbongo anakimbilia kwenye kamba sana...Azam wanapendelea , kwenye upande wa highlights wanaonyesha za Mwakinyo tu za Tinampay hawazionyeshi.
Uatumiwa na mabeberu sio bureMlipino 60% Mwakinyo 40%
Kama vipi aanguke mzigo uishe tu watu warudi zao buza tuwaibie simu zaoMwakinyo anahati hati ya kupoteza