masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhh..Hawa wapuuzi wamekata serverView attachment 1276691
AhahahahahaChonganisha, wape mchanga wapute
Acha Apigwe tuHuyu Tinampay ameshapaniki na asipokuwa makini atapigwa kwa K.O
Round 6Wazee tupeni muelekewo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Chonganisha, wape mchanga wapute
Nilijua michongo kama ya kina sanchoka ndiyo tunayobaniwa tusione, kumbe hadi ngumi watu wanabana tusioneHahahhh..
Wazee tupeni muelekewo
Bongo mizinguo hahahhhNilijua michongo kama ya kina sanchoka ndiyo tunayobaniwa tusione, kumbe hadi ngumi watu wanabana tusione
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua michongo kama ya kina sanchoka ndiyo tunayobaniwa tusione, kumbe hadi ngumi watu wanabana tusione
Humu jf kuna watu wao kazi yao ni kutukana wenzao tu
Ulijaribu kuchepuka na wake zao bro?Wote hawana ngumi nzito .
Nadhani haki ya kurusha pambano hilo ipo kwa Azam Tv ndiyo maana YouTube mambo yameenda kombo.Nilijua michongo kama ya kina sanchoka ndiyo tunayobaniwa tusione, kumbe hadi ngumi watu wanabana tusione