Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Vipi kuna nini kimejiri mbona nasikia kelele kwenye mabanda ya maonesho
 
Nilijua michongo kama ya kina sanchoka ndiyo tunayobaniwa tusione, kumbe hadi ngumi watu wanabana tusione
Nadhani haki ya kurusha pambano hilo ipo kwa Azam Tv ndiyo maana YouTube mambo yameenda kombo.
 
Back
Top Bottom