google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Usijali pesa weka mfuko wa shati hesabu dakika tu mtu anakula ngeta ya ubao fasta anaiona pepo na jehanam anatoa kila kitu mpaka nywila ya mpesa anatoa.Mkuu nitafutie Samsung note 8 baada ya pambano.
We tulia huyu mwakinyo anataka atu damshe watu asubuhi kumpelekea uji amanaManina..
Mwakinyo anazingua
Kwahiyo yule mzungu alimuotea
Kabebwa na promo ila jamaa wa kawaida kuliko hata mfaumeAnakimbilia kwenye kamba halafu anaruhusu ngumi, mpuuzi sana huyu mwakinyo
Namaanisha katika situation ya sirious hawezi kutegea pambano kama anavyofanya saizi kulala lala kwenye mikambaSijaelewa coment
Ila mfilipino yuko smartHuyu mfilipino yuko chap sana, ila mwankinyo kuna ngumi anapiga kwenye kichwa balaa
Angalia asituimbishe parapanda pale muhimbili bureeWe tulia huyu mwakinyo anataka atu damshe watu asubuhi kumpelekea uji amana
Sasa kuninginginia kwenye mikamba ndo niniNamaanisha katika situation ya sirious hawezi kutegea pambano kama anavyofanya saizi kulala lala kwenye mikamba
Kwahiyo mshindi hatabirikiHuyu mfilipino yuko chap sana, ila mwankinyo kuna ngumi anapiga kwenye kichwa balaa
Mfilipino ana afadhaliMabondia wote wabovu japo wanapigana sana vitasa.
Wote defence yao ni mbovu.
Huo ndo uchawi wa branding & marketing techniques kwa ujumla wake. Hizi jamii za wathailand, Philipinnes na Vietnam hatuwezi kushindana nao. Wako na fitness si ya kawaida.Kabebwa na promo ila jamaa wa kawaida kuliko hata mfaume
Tukishindwa kumpiga kwa ngumi, tutawaita wazalamo wampige kwa maneno😂😂Mwakinyo anapigwaaa aisee [emoji3][emoji848][emoji848][emoji848]