Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Huo ndo uchawi wa branding & marketing techniques kwa ujumla wake. Hizi jamii za wathailand, Philipinnes na Vietnam hatuwezi kushindana nao. Wako na fitness si ya kawaida.
Misosi ya asili tangu wanakua wadongo sea foods na organic foods
 
Mwakinyo mzito sanaaaaa, alafu ngumi zake ngumu kupata KO.. Mm naona Mfilipino kashinda
 
Kijana wetu ameonwsha udhaifu kabisa. Hata majaji waamue vinginevyo. Trainer wake nafikiri nao walikuwa wanatazama tu, hawakuwa na ushauri
 
Back
Top Bottom