Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Niliona tangazo moja eti stive nyerere anasema ngumi moja ya huyo Mwakinyo ni sawa na fuso 4 za mchanga, nikasema mhhhhh!
 
Hizi points zinahesabiwa vipi,... Hongera Mwakinyo,hongera Tanzania. Ila nimepoteza imani kwa Mwakinyo
 
Mwakinyo kajitahidi lakini Mfilipino anauzoefu qa mapambano mengi

Next time apigane akiwa underground miluzi mingi humpoteza mbwa
 
Back
Top Bottom