Kwaiyo mwakinyo ameshinda?.. Mimi sina tv
hii nchi ngumu sana aiseeAma kweli mcheza kwao hutuzwa, Mwakinyo kapoteza hili pambano[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hawa majaji itakuwa ni wanafunzi wa salum jecha
Ndiyo maana Tinampey alikuwa anaforce KODah! Ama kweli nazidi kuamini sisi ni manyani.
Hii si wazi Mwakinyo kala vitasa. Jaman jaman! Namna hii ndiyo maana hatufiki. Tunajitekenya na kucheka wenyewe.
Refer hata comments za commentators; Jimmy Kabwe na Matumla, wametoa kasoro za wazi kabisa kwa Mwakinyo. Politics ni tatizo Afrika. Shithole humans!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mcheza kwao hutuzwa!
Hata usitafute tv haina kazi ukiwa tzKwaiyo mwakinyo ameshinda?.. Mimi sina tv
Mwakinyo kapigwa live, najisikia aibu sana kwa upuuzi huu. Tumekuwa taifa la kupanga matokeo. Yule msauzi mwamuzi kamwokoa wakati anakwepa ngumi kama nne akiwa yuko fit bado.Hizi points zinahesabiwa vipi,... Hongera Mwakinyo,hongera Tanzania. Ila nimepoteza imani kwa Mwakinyo
Labda tu mimi ndio sielewi ila mwakinyo hajashinda, leo kapigwa ila kwasababu ni game ya nyumbani.Jecha anahusika
Si unajua awamu ya tano ushindi siku zote ni wa kishindoo ? Kwa hiyo anaandikiwa ushindi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alitaka kufanya njama jamaa afie ulingoni ili akachangishe daftari
Hawa majaji wametoka nchi ngani? Haiwezekani huyu mbongo ameshinda...
Kabebwa laivu...
Heri yako huuelewi, mimi siupendi kabisa!Sijaelewa kabisa ila nimeona kama Tinampay kashinda, mchezo wa ndondi siuelewi kabisa.