Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Hahahaha swahiba unajua vijana hapo wanaweza kutafsiri yale mambo yao wanayofanyia bafuni???

Yaani jamaa kashinda bila kupingwa kama zile chaguzi za serikali za vijiweni
Tatizo la kushinda bila kupingwa ni kumkimbiza furaha... aliyeshinda hana furaha, mashabiki hawana furaha, majaji hawana furaha, waandaaji hawana furaha hata mpinzani wake pia hana furaha!
Ama kweli asiyekubali kushindwa si mshindani!

(Kwa hisani ya baba Askofu Dr.Bagonza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…