Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Wabongo bwana hata gloves ndo anahangaika kuvaa. Ila mbona naona kama Mwakinyo atapigwa ?
 
Mfilipino kazigomea wakati ashazivaa adi kafika ulingoni sasa angefanyaje?
Inawezekana kagoma toka ndani, ila angekaa kimya ss watazamaji tusingejua ndo maana kagoma na ulingoni ili hata akipigwa aseme sababu ni vifaa duni.
 
Uwanja wa uhuru vyoo hakuna just kama uwanja wa taifa.Jaman aibu kwa taifa.imagine mtu anakojoa kwenye ngazi za kupandia uwanjan
Kojoeni tu sasa mtafanya nini. Uwanja upo chini ya jeshi ila dah.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…