Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
Tunaruhusiwa kumwekea mikeka mzee baba mwakinyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambano raundi 3 zimeisha ameshinda Hemed MremaAzizi Juma Hemed Lema pambano la awali kabisa.
Tunaruhusiwa kumwekea mikeka mzee baba mwakinyo
Mshindi ni Juma AthumanPambano lingine ni Juma Athuman Vs Anton Luta
Yaani mtu anapigana na mjombaake halafu nyie mnafurahia?
Huyu Mfilipino kaanza kupigana mwaka 2008 wakati Mwaki nyoo yupo darasa la pili.
Weka tu mzee wala usiogope ila kumbuka kila penye riziki pia kuna riskTunaruhusiwa kumwekea mikeka mzee baba mwakinyo
Muhamed Bakari Vs said
Robo tatu ya uwanja ushajaa.unasubiri nini sasa wahi mapema uwanja wa uhuru fulk shangwe
Akimuua si atashtakiwa na jamuhuri ya muungani wa Tanzania, kesi ya mauaji kunyongwa mpaka kifo
Sijuj kwanini moyo wangu una hofu kila nikipitia rekodi zao! Hebu huyo mzungu akalishwe mapema maana sio kwa moyo kudunda dunda huku!
Kiingilio ni bei gan mzee baba