Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Na ndugu yake Mwashambwa abubujikwa na machoziUshindi huo pia umewezesha kujinyakulia TSh milioni 10 alizoahidiwa na Rais Samia
Usitupangie. Tupo kwenye msiba wa kitaifa. 😀😀😀Haters huwaoni hapa, angekuwa kapigwa sasa hivi tupo page ya 8 wanamshambulia hahahaha
Samia kahamia na kwenye Ngumi? wakati kuna Wamama wajawazito wabakosa vifaa vya kujifungulia huko mtaani?Bondia Hassan Mwakinyo amefanikiwa kutetea mkanda wake wa WBO Afrika baada ya kushinda kwa KO raundi ya tisa dhidi ya bondia Daniel Latrey kutoka Ghana.
Ushindi huo pia umewezesha kujinyakulia TSh milioni 10 alizoahidiwa na Rais Samia endapo angeshinda pambano hilo kwa knockout kwenye The Night Of Title Defence
View attachment 3154072
Wakati Unampa mimba mkeo hukujua kama kujifungua ni gharama,au hujui vifaa vya kujifungulia vinauzwa,acheni kuzaa ovyo na kuitupia lawama serikali kila mudaSamia kahamia na kwenye Ngumi? wakati kuna Wamama wajawazito wabakosa vifaa vya kujifungulia huko mtaani?
pole sana kwamaumivu utaponaMcheza baikoko atakuwa kapigana na kinyozi
Mtaa gani?Samia kahamia na kwenye Ngumi? wakati kuna Wamama wajawazito wabakosa vifaa vya kujifungulia huko mtaani?
Mjinga kama wewe utajua kitu? we ni mjinga,Mtaa gani?
Kuna yatima wanapewa mimba za kubakwa, vichaa wanabakwa, ombaomba wanabakwa... Unakuta hawana namna ya kujiandaa na gharamaWakati Unampa mimba mkeo hukujua kama kujifungua ni gharama,au hujui vifaa vya kujifungulia vinauzwa,acheni kuzaa ovyo na kuitupia lawama serikali kila muda
Sikubaliani na Samia kwenye mambo mengi...Mjinga kama wewe utajua kitu? we ni mjinga,
Nilidhani Mwakinyo yuko kwenye sports, kumbe naye ni msanii? Footballers nao ni wasanii au wanamichezo?Hii nchi kuna Diamond na Mwakinyo tu kwenye sanaa.
Ndondi ni sanaa mkuu...Nilidhani Mwakinyo yuko kwenye sports, kumbe naye ni msanii? Footballers nao ni wasanii au wanamichezo?
Asante kwa taarifa.
Wakati wanatiana mimba hawakujua kuna vifaa vya kujifungulia?Samia kahamia na kwenye Ngumi? wakati kuna Wamama wajawazito wabakosa vifaa vya kujifungulia huko mtaani?
Mtaa upi huo, mbona mama Samia kamwaga vifaa na wodi za kujifungulia kama njugu?Samia kahamia na kwenye Ngumi? wakati kuna Wamama wajawazito wabakosa vifaa vya kujifungulia huko mtaani?