Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewalaumu Watanzania kumkandia Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kwa kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa DR-Kongo, Tshimanga Katompa.
Amesema Dullah Mbabe aliwahi kushinda pambano nje ya nchi na hakuna aliyemposti ambapo kwa kupoteza pambano lake hivi karibuni watu wamekuwa wakimposti kwa nia ya kumdhihaki.
Amewataka watanzania wajifunze kuthamini na kujivunia vya nyumbani, ambapo katika pambano hili Dullah Mbabe ni wa nyumbani, yeye binafsi yuko upande wa Dulla