Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa mwakinyo katoa ushilikiano sana mpka akatoboa ukuta na kuzama ndani ya shimo na Alikiba alivunja ukuta mkubwa sana na mgumu adi kupatikana shimo la kuingia ndani,
sasa wale waramba lips 🙆🙆🙆🙆 kazi yao kupost kila tukio utazan wapo sehemu husika ila wanaume wa dar bana😂😂😂😂😂acha niishie apa tu maana nitawanyambua tu😄😄😄🫣