Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa mwakinyo katoa ushilikiano sana mpka akatoboa ukuta na kuzama ndani ya shimo na Alikiba alivunja ukuta mkubwa sana na mgumu adi kupatikana shimo la kuingia ndani, sasa wale waramba lips ππππ kazi yao kupost kila tukio utazan wapo sehemu husika ila wanaume wa dar banaπππππacha niishie apa tu maana nitawanyambua tuππππ«£