Mwakinyo ni Bondia bora sana kuliko Media zilivyomu-Attack Baada ya mapambano la juzi

Mzee baba unaonesha ufuatilii boxing hasa za nje kujitapa na kejeli Ni sehemu ya boxing nenda mtu Kama Mayweather anafanya sana
 
Mzee baba unaonesha ufuatilii boxing hasa za nje kujitapa na kejeli Ni sehemu ya boxing nenda mtu Kama Mayweather anafanya sana
sio nje tu , hata hapa bongo mabondia wanajitapa ila ushawahi kusikia wanazungumziwa km wanazdharau? km pambano la juzi kat ya twaha na dullah kabla ya hata makubaliano la pambano , jinsi kila mtu alivyokuwa anamtambia mwenzake mpaka wakakubaliana kupigana ni ilichukuwa muda sana, lakin hakuna aliemdharau mwenzake na baada ya ngumi maisha mengine yameendelea km kawaida, ila huyu bondia wako maisha ya nje kakunja, kwenye pambano lake na yule mthailand, matumla alikuwa mchambuzi kuna vitu aliongea kwa ajili ya kumjenga zaid mwakinyo yeye akamaind, na kutoa maneno ya dharau kwa matumla, na pambano lake la juzi kushinda twaha kaenda kumpongeza kamvungia, sasa aelewekeje, kupigana kakataa na kupongezwa kakataaa, si ushamba huo, au kuiona hali iyo inahitaji ufuatilie ngumi kiasi gan? afu pia huyo mwakinyo sijamjua jana au kwa upepo huu, na namsapoti ila sifuagilii tabia za kike
 
Hizo unazoita dharau ndo kujitatapa kwenyewe. Fuatilia interviews za Muhammad Ali na Michael Tyson utashuhudia dharau na kejeli zaidi ya Mwakinyo. Boxing sio football usitegemee kukutana na maneno ya kufariji na kutiana moyo huko.
 
Kama anajiona yeye ni mkali,afanye kama anafanya mazoezi tu na kiduku ktk pambano lisilo la ubingwa ambapo hatapoteza chochote tuone nani mkali,huenda pia akamkalisha huyo kiduku, aache kumuhofia kwa kisingizio cha kushusha rank ili awakate vilimi limi mashabiki wa.kiduku
 
Mambo hayaendi hivyo ndugu yangu. Dunia ipi umeona professional boxers wanapiga just kuoneshana utemi?! Too Local.
 
Mambo hayaendi hivyo ndugu yangu. Dunia ipi umeona professional boxers wanapiga just kuoneshana utemi?! Too Local.
Huyo ni kunguru mwoga tu anayejificha kwenye kivuli cha kushusha rank,hajakutana tu na mabondia sampuli ya kina kiduku,na sema nae kiduku hana tu wadhamini wenye pesa wa kumpiganisha mapambano huko mbele sana
 
Sema inabidi afanye mazoezi sana ya kuboresha uzito wa ngumi.... Kwa bondia hata Kama unashinda mapambano mengi lakini Kama unaweza kumpiga mtu hata ngumi 5 mfululizo bila kumkalisha huo ni udhaifu, kawaida ngumi mbili tu mtu anatakiwa akae

Hapa itategemea na uvumilivu wa mpinzani
 
Hizo unazoita dharau ndo kujitatapa kwenyewe. Fuatilia interviews za Muhammad Ali na Michael Tyson utashuhudia dharau na kejeli zaidi ya Mwakinyo. Boxing sio football usitegemee kukutana na maneno ya kufariji na kutiana moyo huko.
naona hatuelewani kiswahili ndugu, endelea kuamin unavyojua ww.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…