sio nje tu , hata hapa bongo mabondia wanajitapa ila ushawahi kusikia wanazungumziwa km wanazdharau? km pambano la juzi kat ya twaha na dullah kabla ya hata makubaliano la pambano , jinsi kila mtu alivyokuwa anamtambia mwenzake mpaka wakakubaliana kupigana ni ilichukuwa muda sana, lakin hakuna aliemdharau mwenzake na baada ya ngumi maisha mengine yameendelea km kawaida, ila huyu bondia wako maisha ya nje kakunja, kwenye pambano lake na yule mthailand, matumla alikuwa mchambuzi kuna vitu aliongea kwa ajili ya kumjenga zaid mwakinyo yeye akamaind, na kutoa maneno ya dharau kwa matumla, na pambano lake la juzi kushinda twaha kaenda kumpongeza kamvungia, sasa aelewekeje, kupigana kakataa na kupongezwa kakataaa, si ushamba huo, au kuiona hali iyo inahitaji ufuatilie ngumi kiasi gan? afu pia huyo mwakinyo sijamjua jana au kwa upepo huu, na namsapoti ila sifuagilii tabia za kike