Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Jamaa muda huu yupo live kwenye kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, anaulizwa maswali anajibu kwa majivuno na kebehi sana!
Mojawapo ya swali aliulizwa,
Mwandishi: watu na mashabiki wa ngumu wanataka pambano lako na Twaha Kiduku vipi linaweza kufanyika?
Mwakinyo: Mimi siwezi kupambana eti kisa kuna mtu kaweka zawadi beberu, mimi sio bondia wa namna hiyo!
Mimi siwezi kupambana na Twaha kwakuwa ni bondia mwenye hadhi ya chini sana, akapigane na akina Selemani Kidunda ndio hadhi yake!
Hivyo ndugu mwandishi nihitimishe tu kwa kusema kuwa, kama ambavyo hatutamuona tena Mtume Muhamad (S.A.W) na ndio ambavyo hakutakuwa na pambano la mimi dhidi ya Twaha Kiduku!!
===================
Hayo ni machache, jamaa ameongea ujinga mwingi sana...