Mwakinyo ni miongoni mwa wanamuchezo wenye majibu ya majivuno

Acheni umama hizo shombo ndo ladha yenyewe .. wote wakipoa nani atahamasika hata kuangalia pambano ?? ..
 
Tatizo la waandishi wa bongo huwa wanauliza sana maswali ya kunya nasapoti majibu yake ili mjifunze kuuliza maswali ya msingi sio personal matters au maswali ya kulazimisha ushabiki eti kiduku yeye anapambana na.mpango kazi wake unamuuliza mpangokazi wa mtu mwingine. Kiboko ya wanaadishi wa bongo wampate mtu anayezungumza kiingereza kama timu za mpira kutoka.nchi wanaozungumza kiingereza ndio utafurahi wanashika mic tu hawana na kuuliza na atakayejitolea muhanga kuongea ni kituko aibu kwa nchi
 
 
Ndio entertainment yenyewe hii....
 
Amepambana kivyake kufika hapo alipo. Hata ningekuwa Mimi ningekuwa na shombo zaidi ya hapo. Watu wanapenda Sana promo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…