Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 125
Umeanza tena matatizo yako? Angalia sana, ukifuata fuata watu utaishia kuumbuka maana data zote tunazo!
Yale yale ya mtandao, mnaacha kutumia muda wenu kwa maendeleo mnaanza kutafuta data za watu kisa wamekataa kukubaliana na hoja zenu za kutaka kushawishi watu wamwone Mwakyembe hafai. halafu mkishajua hizo data nini kinafuata? sumu, tindikari,ajari za kupanga au Bunduki?
Unawezaje kujua data za watu bila kusaidiwa na MOD?. Kwa taarifa yako mimi siogopi kitu wewe fanya unachoweza kufanya kivyako vyako huna hata haja ya kunitishia. Angalia watu wanaokupa thanks utaona ni watu mnaofanana mawazo mnazani kuwa mnaweza kutawala hata kwenye internet